Makonda anatumika kwa makusudi maalum?

Makonda anatumika kwa makusudi maalum?

Mtoa mada una akili sana,hii kauli ya kupunguza watumishi nafikiri ni maagizo kutoka juu.
Mwisho linaweza tolewa tamko rasmi...
Dah!
Yes.
Nadhani na wewe umeshaliona hilo.
Ndio kinachofuata muda sio mrefu.
Makonda huenda ametumika kuja "kushtua" ili kupima reaction au kuandaa mazingira ya kisiasa kwa jambo hilo kutekelezeka kwa wepesi na serikali pasipo vikwazo.
 
Ni mouth piece ya mtu flan, unaweza kubet ishu flan kupitia kwake!!!
 
Mimi sitaki kuahamini kweli Tunataka kufika serikali ya Viwanda viongozi wanaotuongoza ni makonda na Gambo kweli how come
 
HUYO NI MKUU WA MKOA NA HAWASEMI UONGO KWA HIYO MAKONDA HADI KUSEMA HAYO NI KWAMBA YUKO NA USHAHIDI SASA HAWAO WATUMWA WA CCM KAMA WAMEPEWA TANO TANO WAZIRUDISHE NA WAZIRI HAJE NA HAKANUSHE KAMA KAWAIDA YAO.

swissme
shisha ni kitu gani kwa rpc? Shisha inafaida kiasi gani had umuhonge kamanda kanda maalumu?
Waache poda....waache ugaidi....nk
wameona shisha tuu?
makonda kama kawaida yake ye na Vita tuu juu ya asiowataka yeye!
nna was was na wale wafanya biashara watoa misaada.........
 
Muda umefika sasa...either Makonda abakie Dar...makamanda wote 2 waondoke Dar....au kinyume chake! Suala la muda tu
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu sana mwenendo na tabia za kisiasa za Paul Makonda, nikahisi ni mtu anaweza kuwa anatumika kwa makusudi maalum(Yaani Chambo, kijaribio(Pilot test), Kitangulizi au Kianzisha mwendo, Kivuli cha kujifichia wakubwa zake).
Wengine pia wenye hulka hizo ni Nape Nnauye, Humphrey Pole Pole, Salum Hapi, Mrisho Gambo nk.

Na haya ni baadhi ya Mambo ya msingi sana ambayo mara zote yamekuwa yakienda sambamba na Makonda

1/Kila alichokuwa akikishupalia sana, basi baadaye ilijulikana kuna Mkubwa aliyekuwa akimtuma kusema au kufanya hayo.

2/Kila tukio kubwa la ajabu ajabu alilofanya Makonda lilipelekea Kupongezwa au kuaminiwa na kupewa cheo cha juu zaidi na Wakubwa wake.

3/Mara zote amekuwa akipenda kufanya mambo kwa ubinafsi zaidi kuliko kitaasisi, na hapo hapo wakubwa wake wakifurahia na kumpongeza

4/Ni mtu anayependa Kujipendekeza na kujihusisha kwa gharama yoyote ile na wakubwa wake wakuu(Ni rafiki mkubwa sana wa Wakubwa wake).
 
Ametumwa na drug lords huyu.. ili RPC wake akabwe, sbb kamanda sirro yuko makini kawabana.. makonda anatumika
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu sana mwenendo na tabia za kisiasa za Paul Makonda, nikahisi ni mtu anaweza kuwa anatumika kwa makusudi maalum(Yaani Chambo, kijaribio(Pilot test), Kitangulizi au Kianzisha mwendo, Kivuli cha kujifichia wakubwa zake).
Wengine pia wenye hulka hizo ni Nape Nnauye, Humphrey Pole Pole, Salum Hapi, Mrisho Gambo nk.

Na haya ni baadhi ya Mambo ya msingi sana ambayo mara zote yamekuwa yakienda sambamba na Makonda

1/Kila alichokuwa akikishupalia sana, basi baadaye ilijulikana kuna Mkubwa aliyekuwa akimtuma kusema au kufanya hayo.

2/Kila tukio kubwa la ajabu ajabu alilofanya Makonda lilipelekea Kupongezwa au kuaminiwa na kupewa cheo cha juu zaidi na Wakubwa wake.

3/Mara zote amekuwa akipenda kufanya mambo kwa ubinafsi zaidi kuliko kitaasisi, na hapo hapo wakubwa wake wakifurahia na kumpongeza

4/Ni mtu anayependa Kujipendekeza na kujihusisha kwa gharama yoyote ile na wakubwa wake wakuu(Ni rafiki mkubwa sana wa Wakubwa wake).
Makonda amefika alipo kwa kuchapa kazi,elimu na uadilifu wake,hivyo vigezo ukiwa navyo lazima upande ngazi kwenye taasisi yoyote ile kama hutaki basi
 
msema kweli siku zote hupigwa mawe, bongo inahitaji VIJANA wanasiasa wengi wenye hulka kama za Makonda wenye ujasiri wa kusema uozo hadharani ( shisha hakuna wakati watu wanaipiga mchana kweupe! rushwa hakuna halmashauri za jiji wakati tenda zinagawiwa na watu wengine hawajui hata kama zipo). Ujasiri wa Makonda kusema uozo hadharani ni mchango mkubwa kwenye jamii wa kubadili tamaduni mbaya sana za WAZEE tulizozoea za kufichiana siri na kulindana huku mamilioni ya watu wakitaabika na njaa, umaskini, maradhi , vifo na ujinga wakati wao wakila upepo mwanana wa baharini huko MASAKI, hizi tamaduni walizozijenga WAZEE wetu zinazoturudisha nyuma siku zote, big up Makonda nakuombea sana , endelea bila kuogopa yoyote. Namuomba mkuu wa kaya akupe WADHIFA mkubwa zaidi tena sehemu ya mapambano ya uhalifu , daima endelea kunyoosha kila unapoona panakwama kwenye mamlaka yako na nina amini Mungu atakupa afya njema na hekima siku zote
Shughuli za serikali hazifanywi na kuendeshwa kama Ngoma ya kigodoro au muziki wa singeli.
Makonda ni RC, na kwa mujibu wa katiba ndio Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa mkoa ambapo RPC ni mjumbe.
Jee kusema hadharani tuhuma zile ni kuwa kamuogopa mjumbe wake au kadhihirisha kuwa hamuamini? Ni sawa na mtu aseme hadharani mkewe anahisi anagawa utamu kwa watu wakati yuko kwenye hinaya yake na ana uwezo wa kumhoji na kumdhibiti halafu watu kama wewe mumsifie kuwa anasema ukweli.
Makonda na anayemtuma wamejaa unafiki
 
Back
Top Bottom