Katika sakata la Nape vijana wanaodaiwa ni askari kanzu walimshambulia Nape, cha kushangaza hakuna hata mmoja anayetambulika na camera zote zimewapiga picha mgongoni na walitoweka polisi walivyofika, hivyo inawezekana ni watu maalum wenye mafunzo maalum
Agent tooSecret service my left foot. Mtu gani mzembe kama yule hata Kitenge tu kamzidi
My leg!Agent too
ndiyo maana Nape alimwita mpumbavu, kwa sababu alichomoa bastola na kuirudisha kiunoni kipumbavu. Inawezekana yule siyo askari, na kama ni askari basi hatuna askari. Askari ambaye amefikia hatua ya kutoa siraha, anaondolewaje na raia asiye na siraha kwenye eneo la tukio wakati hajatimiza hata adhma yake ...PUMBAVU SANASecret service my left foot. Mtu gani mzembe kama yule hata Kitenge tu kamzidi
atakua mura yule jamaa mkulima saana tu,hata alipozuiliwa kutumia bastola alitaka hata amvae nape kumpa makofi kidogo,huyu mzaramo maulidi kazoa sifa tele tu kwa wakuja tuπππ,we maulidi kamera zimekuokoa ukikutana nae chocho huyo jamaa tutakukuta chalinze wafturu.ndiyo maana Nape alimwita mpumbavu, kwa sababu alichomoa bastola na kuirudisha kiunoni kipumbavu. Inawezekana yule siyo askari, na kama ni askari basi hatuna askari. Askari ambaye amefikia hatua ya kutoa siraha, anaondolewaje na raia asiye na siraha kwenye eneo la tukio wakati hajatimiza hata adhma yake ...PUMBAVU SANA
My leg!