Na NEC hakwenda nayo 😂😂😂Unataka Stars ishinde Kama CCM
Halafu Polisi umewaacha Tanzania
Hapa Makonda alijichanganya
Ushindi wa ccm uko mikononi mwa Nec n policcmTusaidiane jamani
Timu ya taifa imechukiwa ghafla
Kuna haja ya kiongozi wa kitaifa kusafisha hali ya upepo
Maana sasa kuna Timu ya Taifa ya CCM na ya CDM, na ya wasio na vyama,timu ya Taifa imemeguka vipande
Namuona ndugai akichekea chini ya meza
Hahhaha lubuva hakuwepo..lolNa NEC hakwenda nayo
Huyu dogo DAB ana nuksi sanaTusaidiane jamani
Timu ya taifa imechukiwa ghafla
Kuna haja ya kiongozi wa kitaifa kusafisha hali ya upepo
Maana sasa kuna Timu ya Taifa ya CCM na ya CDM, na ya wasio na vyama,timu ya Taifa imemeguka vipande
Namuona ndugai akichekea chini ya meza
... halafu "wapiga kura" walitakiwa wakae umbali wa mita 200! Hayo yote yalishindikana kule Misri.Na NEC hakwenda nayo 😂😂😂
Wapiga magoli ndio walikaa umbali wa mita 200... halafu "wapiga kura" walitakiwa wakae umbali wa mita 200! Hayo yote yalishindikana kule Misri.
Unataka Stars ishinde Kama CCM
Halafu Polisi umewaacha Tanzania
Hapa Makonda alijichanganya
Hahah itakuwa hata mikono wameacha home, mana hata magoli ya mkono yamewashinda...
hata Jecha hakwenda naye mkuu!Unataka Stars ishinde Kama CCM
Halafu Polisi umewaacha Tanzania
Hapa Makonda alijichanganya