kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,866
- 2,746
Nataka niweke vitu sawa hapa, wakati sisi watanzania tulipokuwa tunaisaport Tim yetu ya taifa, alitokea kiongozi na kusema ile Tim ni serikali ya chama cha mapinduzi na inamuwakilisha rais. Sisi tulivyoona tunatengwa ikabidi tuwaachie Tim Yao. Sasa wamefungwa wanataka kujifanya ni Tim ya watanzania ndio imefungwa. Kwakweli Viongozi wa chama hiyo ni Tim yenu wala sisi hatuhusiki nayo.