Makonda ana nini? Watu wameichukia timu ya Taifa ghafla,wamefurahi imefungwa,Ndugai anachekea chini ya meza!

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,635
19,860
Tusaidiane jamani

Timu ya taifa imechukiwa ghafla
Kuna haja ya kiongozi wa kitaifa kusafisha hali ya upepo

Maana sasa kuna Timu ya Taifa ya CCM na ya CDM, na ya wasio na vyama,timu ya Taifa imemeguka vipande

Namuona ndugai akichekea chini ya meza
 
Ushindi wa ccm uko mikononi mwa Nec n policcm
 
Tusaidiane jamani

Timu ya taifa imechukiwa ghafla
Kuna haja ya kiongozi wa kitaifa kusafisha hali ya upepo

Maana sasa kuna Timu ya Taifa ya CCM na ya CDM, na ya wasio na vyama,timu ya Taifa imemeguka vipande

Namuona ndugai akichekea chini ya meza
Huyu dogo DAB ana nuksi sana
 
Timu ya taifa ina wachezaji wa kada zote, unapoweka ujinga wa siasa kwenye kipindi ambacho siasa imekuwa ni uadui kwa wengine lazima timu icheze chini ya kiwango tu.
 
Miaka yote huwa hakuna timu ya taifa bali mkusanyiko tu wa wachezaji wanaoenda kushiriki na sio kushindana...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom