GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
1,413
Reaction score
5,150
Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu wachapakazi, wenye kujiamini, wasioyumbishwa kirahisi; watu wa nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.

Lakini ndugu Daudi Albert Bashite ametuonyesha upande wa pili ambao, kwa hakika, ndiyo uhalisia wa watu wa Arusha. Ametuonyesha ni watu wasioaminika, watu wapenda dezo, wako radhi kukatana wao kwa wao kwa ajili ya minofu ya nyama na bia bureee. Ni watu wavivu na malofa, wako radhi kuuza utu wao kwa ajili ya lita 5 za mafuta ya Toyo.

Mmenishangaza sana!!
 
Wameingizwa chaka na Ngosha Ghoromije na wamejaa kwenye 18
 
Ukweli lazima usemwe.
Siasa za kushawishi umma ndugu Makonda anaziweza.
Ukweli huu haijalishi ufanisi au faida ya kweli ya kile anachoshawishi watu.
Umma unataka mtu anaye shughulika na kero zao na kudhibiti uhuni.
Makonda huenda anajua kuigiza vizuri au anatekeleza hili vizuri sana.
Give credit when it's due.
 
Ukweli lazima usemwe.
Siasa za kushawishi umma ndugu Makonda anaziweza.
Ukweli huu haijalishi ufanisi au faida ya kweli ya kile anachoshawishi watu.
Umma unataka mtu anaye shughulika na keep zao na kudhibiti uhuni.
Makonda huenda anajua kuigiza vizuri au anatekeleza hili vizuri sana.
Give credit when it's due.
Bia za Bure na nyama ,ndio ushawishi?
 
Bia za Bure na nyama ,ndio ushawishi?
Unaweza kuukataa ukweli lakini wenyewe utabaki kuwa ukweli.
Zile workshop za kusikiliza kero na kutatua migogoro sugu zimempa nguvu ya kuwashawishi wana Arusha.
Sasa zilisaidia wananchi kweli au hazikusaidia hiyo wanajua Wana Arusha.
Zile movement ndiyo zilisababisha Magufuli akubalike sana na watu wengi bila kujali tuhuma za udikteta au ukatili. Makonda akatembelea kwenye script hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom