Makonda amejimaliza kwa kinywa chake mwenyewe.

RC Makonda amualika mwanamuziki T.I.D
nyumbani kwake na kuzungumza naye siku
chache baada ya kuachiwa kufuatia tuhuma za dawa za kulevya. pic.twitter.com/ePWkewU92i
 
Hii nchi ina maigizo
Muuza madawa anaambiwa kesho njoo Polisi.
Anaenda wanamuhoji kisha wanaendanae kwake kutafuta madawa
Hivi ni mjinga gani huyo atakae kuwa namna hiyo hadi umuite polisi tena umpe siku kabla zaidi ya mbili kisha uende nae kwake, Ccm haya Maigizo yenu tumechoka nayo danganyeni wajinga wenzenu ccm sio sisi.
 
Katika vitu ambavyo watu wanakupenda Rais ni uwezo wako wa kuthubutu kwa masuala ambayo wewe au jamii inayatilia shaka. Makonda ameshutumiwa sana bungeni kuwa ana Mali nyingi kwa muda mchache.
Wabunge wanadai amefanya ziara Nchi za Ulaya, mfano USA, UK na south Africa kwa gharama wake. Watu wanajiuliza ametoa wapi pesa za kukaa 20 days nchi za nje.

Pili makonda anashutumiwa kuwa amejenga maghorofa mawili mwanza yenye thamani ya milioni 800. Anamiliki magari matatu ya kifahari Lexus milioni 400, Benz milioni 250, pamoja na v8. Pia anashutumiwa kununua apartment milioni 600 viva tower.
Mhe Rais hizi ni shutuma zinaweza kuwa sahihi au kwel. Kwakuwa wananchi hatujui ukweli huu..basi msimamishe Makonda na unda tume ya uchunguzi ili tujue ukweli huu.

Makonda amekosa moral authority ( haaminiki) tena kwa anaowaongoza na wananchi kwa ujumla. Ataweza VP kukemea rushwa wakati yeye mwenyewe anatuhumiwa. Makonda huyuhuyu aliunguruma Darajani/ kigamboni kuwa marehemu Masaburi amepokea rushwa. Na Rais ulimtoa masaburi kwa kashfa ya kutuhumiwa ya rushwa. Ni vyema Rais usiwe na double standard kwa Makonda mtoe naye na unda timu imchunguze amepata wapi pesa hizo.

Makonda pia anahusishwa na mtandao wa homeshoping au GSM.
 
Mwaka huu mateja wote mmejificha ktk kichaka cha chama kile kwa kujifanya mnamtetea mwenyekiti yule, ila mkubali au mkatae huu ndio mwisho wenu wa kutumia vitu vibovu vinavyoathiri afya zenu ma.tako wee
Kumbe yule msukuma ni mwenyekiti wa chadema Geita.
 
Hivi Mkuu ukiambiwa umtaje ata mmoja aliekimbia unaweza kumtaja na kudhibitisha?
Licha ya kukimbia alichofanya nikumpa mtuhumiwa muda wakuficha ushaidi utakaomtia hatiani.huwezi kumshtaki mtu mahakani kwa tuhuma tu bila ushaidi isome sheria utajua ninachokisema mkuu
 
kamanda Siro kasema kati ya watu 65 wamekwenda wanne tu,wengine unadhani wako wapi?wamekimbia au wanaharibu ushahidi,hata kale katoto kashoga kamekimbia ile kusikia kanatafutwa
Hakuna aliyekimbia watu wako safarini na wanarusha picha zao kama kawaida wakila bata na siro alisema wakati wanatajwa wengine walikuwa safarini.Pia jua yale majina ni ya kisanii tu unataja mtu jina moja tena la a.k.a unataka afike kwa ubini upi.Kuna kitu kilikuwa kikitafutwa tu ndo.maana unaona waliofika ni wenye majina na heshima zao.lkn hao ambao alikuwa akisema.na kwenda mbali akisema anabadili majina kila siku anawataka ajilete wenyewe atawapata wapi wakati wale ni mamafia wanajua mbinu zote ndo maana anajua wanabadili majina na polisi haijawai kuwakamata.
 
Katika vitu ambavyo watu wanakupenda Rais ni uwezo wako wa kuthubutu kwa masuala ambayo wewe au jamii inayatilia shaka. Makonda ameshutumiwa sana bungeni kuwa ana Mali nyingi kwa muda mchache.
Wabunge wanadai amefanya ziara Nchi za Ulaya, mfano USA, UK na south Africa kwa gharama wake. Watu wanajiuliza ametoa wapi pesa za kukaa 20 days nchi za nje.

Pili makonda anashutumiwa kuwa amejenga maghorofa mawili mwanza yenye thamani ya milioni 800. Anamiliki magari matatu ya kifahari Lexus milioni 400, Benz milioni 250, pamoja na v8. Pia anashutumiwa kununua apartment milioni 600 viva tower.
Mhe Rais hizi ni shutuma zinaweza kuwa sahihi au kwel. Kwakuwa wananchi hatujui ukweli huu..basi msimamishe Makonda na unda tume ya uchunguzi ili tujue ukweli huu.

Makonda amekosa moral authority ( haaminiki) tena kwa anaowaongoza na wananchi kwa ujumla. Ataweza VP kukemea rushwa wakati yeye mwenyewe anatuhumiwa. Makonda huyuhuyu aliunguruma Darajani/ kigamboni kuwa marehemu Masaburi amepokea rushwa. Na Rais ulimtoa masaburi kwa kashfa ya kutuhumiwa ya rushwa. Ni vyema Rais usiwe na double standard kwa Makonda mtoe naye na unda timu imchunguze amepata wapi pesa hizo.

Makonda pia anahusishwa na mtandao wa homeshoping au GSM.
Lexus 400m + benzi 250m + apartment 600m +maghorofa yaliyo gharimu 800m + v8 165m + ziara + kuhonga + matumizi ya siku +mjengo aliopangishwa masogange +matumizi ya Familia + bill za umeme maji +ving'amuzi + mafuta ya hayo magari + kusaidia watu + matumizi ya mke wake + ndugu zake + =..........!!??

Huu mshahara ni sh. Ngapi ikiwa hizi tuhuma ni za kweli?

Mshahara halisi wa mkuu wa mkoa ni 15m
Na alipo kuwa mkuu wa wilaya alikuwa analipwa 13m

Sasa huyu makonda anapokea kiasi gani..!!??

Million 400 kwa mwezi au..!??
 
kamanda Siro kasema kati ya watu 65 wamekwenda wanne tu,wengine unadhani wako wapi?wamekimbia au wanaharibu ushahidi,hata kale katoto kashoga kamekimbia ile kusikia kanatafutwa
Screenshot_20170211-163330.png
 
Ujue kwa tulio na imani tunaamini katika neno lisemalo haki ya mtu haipotei.

Makonda sio msafi, na baya zaidi kuna mambo alishayafanya ambayo, ilikua ni lazima alipe ubaya ule alioutenda. Sitaki kuyataja maana aliyoyafanya kwa Mzee wawatu na katiba yake yanajulikana na ndo kilichompa ukuu Wa wilaya.

Makonda hajawahi kusemwa vizuri tangu huko nyuma, ila kutokana na ukada na uwezo wake Wa kutumia ubabe kukandamiza wapinzani, wakubwa wanampa vyeo.

Sasa kutokana na mfumo Wa Tanzania, ukiwa kiongozi unakua kama Mungu, watu hawakua na namna ya kumuwajibisha makonda na kiburi chake kilichokithiri kinachomfanya atende jambo lolote, bila huruma wala woga, hata kama ni la uongo na ukandamizaji.

Mungu sio mwanadamu, ameona makonda akiachwa aendelee na tabia yake ya ufisadi, huku akiwakandamiza watu, italeta shida na Tanzania itakua jehanamu kwa wanadamu. Ameamua Makonda ajimalize mwenyewe kwa kinywa chake.

Report yake ya ujanja ujanja ya kudai anapambana na madawa, imemmaliza maana imetoa mwanya hata kwa wale waliokua wanamuogopa waweze kuuusema uovu wake maana kaanzisha mwenyewe.

Makonda kumbuka neno hili, siku zako zote " "ukitaka kutoa kakibanzi ndani ya jicho la mwenzio, toa kwanza Boriti linaloziba macho yako yasione vizuri"

Mwisho Wa usanii Wa makonda na serikali ya awamu ya tano unagonga hodi. Na kifo cha CCM kimekamilika. "Time shall tell"
Nadhani zile zilizokutwa kwa Wema Sepetu zimekuharibu kabisa kichwani
 
Ufisadi wa makonda,alafu wanahubiri kua wanapinga rushwa na ufisadi kumbe akina makonda ndio vinara
Unajua kipindi cha utoto hasa shule za msingi unakuta mtu anajamba yeye halafu akiona anaweza kuaibika anaanza kujifanya anachukia tabia ya kujamba anaanza kufoka kwamba kuna watu wanachafua hewa ili tu wasimhisi yeye ili asiaibike, kwa kulitambua hilo ukaibuka usemi kwamba anayesema kuna mtu kajamba yeye ndo mjambaji mwenyewe.
 
Kumbe watumia unga JF wako wengi, mbona wanawatetea sana hawa wauza unga? Hapo kuna mawili aidha members wengi ni watumiaji au wanalipwa kuja kutoa propaganda na wauza unga. Kazi kwei kwei.
 
Ujue kwa tulio na imani tunaamini katika neno lisemalo haki ya mtu haipotei.

Makonda sio msafi, na baya zaidi kuna mambo alishayafanya ambayo, ilikua ni lazima alipe ubaya ule alioutenda. Sitaki kuyataja maana aliyoyafanya kwa Mzee wawatu na katiba yake yanajulikana na ndo kilichompa ukuu Wa wilaya.

Makonda hajawahi kusemwa vizuri tangu huko nyuma, ila kutokana na ukada na uwezo wake Wa kutumia ubabe kukandamiza wapinzani, wakubwa wanampa vyeo.

Sasa kutokana na mfumo Wa Tanzania, ukiwa kiongozi unakua kama Mungu, watu hawakua na namna ya kumuwajibisha makonda na kiburi chake kilichokithiri kinachomfanya atende jambo lolote, bila huruma wala woga, hata kama ni la uongo na ukandamizaji.

Mungu sio mwanadamu, ameona makonda akiachwa aendelee na tabia yake ya ufisadi, huku akiwakandamiza watu, italeta shida na Tanzania itakua jehanamu kwa wanadamu. Ameamua Makonda ajimalize mwenyewe kwa kinywa chake.

Report yake ya ujanja ujanja ya kudai anapambana na madawa, imemmaliza maana imetoa mwanya hata kwa wale waliokua wanamuogopa waweze kuuusema uovu wake maana kaanzisha mwenyewe.

Makonda kumbuka neno hili, siku zako zote " "ukitaka kutoa kakibanzi ndani ya jicho la mwenzio, toa kwanza Boriti linaloziba macho yako yasione vizuri"

Mwisho Wa usanii Wa makonda na serikali ya awamu ya tano unagonga hodi. Na kifo cha CCM kimekamilika. "Time shall tell"
Angalia tofauti ya kura iliyokuwepo kati ya ccm na cdm kwa mambo yanayoendelea sasa chadema wajiandae kuingia ikulu lkn wahakikishe timu yao iwe ni ya watu wasafi
 
Hiki neno '""KAPIMWE MIRINDA"" NDO NINI MANAKE? DAH!!!
 
Back
Top Bottom