Ujue kwa tulio na imani tunaamini katika neno lisemalo haki ya mtu haipotei.
Makonda sio msafi, na baya zaidi kuna mambo alishayafanya ambayo, ilikua ni lazima alipe ubaya ule alioutenda. Sitaki kuyataja maana aliyoyafanya kwa Mzee wawatu na katiba yake yanajulikana na ndo kilichompa ukuu Wa wilaya.
Makonda hajawahi kusemwa vizuri tangu huko nyuma, ila kutokana na ukada na uwezo wake Wa kutumia ubabe kukandamiza wapinzani, wakubwa wanampa vyeo.
Sasa kutokana na mfumo Wa Tanzania, ukiwa kiongozi unakua kama Mungu, watu hawakua na namna ya kumuwajibisha makonda na kiburi chake kilichokithiri kinachomfanya atende jambo lolote, bila huruma wala woga, hata kama ni la uongo na ukandamizaji.
Mungu sio mwanadamu, ameona makonda akiachwa aendelee na tabia yake ya ufisadi, huku akiwakandamiza watu, italeta shida na Tanzania itakua jehanamu kwa wanadamu. Ameamua Makonda ajimalize mwenyewe kwa kinywa chake.
Report yake ya ujanja ujanja ya kudai anapambana na madawa, imemmaliza maana imetoa mwanya hata kwa wale waliokua wanamuogopa waweze kuuusema uovu wake maana kaanzisha mwenyewe.
Makonda kumbuka neno hili, siku zako zote " "ukitaka kutoa kakibanzi ndani ya jicho la mwenzio, toa kwanza Boriti linaloziba macho yako yasione vizuri"
Mwisho Wa usanii Wa makonda na serikali ya awamu ya tano unagonga hodi. Na kifo cha CCM kimekamilika. "Time shall tell"