Makonda amejimaliza kwa kinywa chake mwenyewe.

Makonda amejimaliza kwa kinywa chake mwenyewe.

Katika vitu ambavyo watu wanakupenda Rais ni uwezo wako wa kuthubutu kwa masuala ambayo wewe au jamii inayatilia shaka. Makonda ameshutumiwa sana bungeni kuwa ana Mali nyingi kwa muda mchache.
Wabunge wanadai amefanya ziara Nchi za Ulaya, mfano USA, UK na south Africa kwa gharama wake. Watu wanajiuliza ametoa wapi pesa za kukaa 20 days nchi za nje.

Pili makonda anashutumiwa kuwa amejenga maghorofa mawili mwanza yenye thamani ya milioni 800. Anamiliki magari matatu ya kifahari Lexus milioni 400, Benz milioni 250, pamoja na v8. Pia anashutumiwa kununua apartment milioni 600 viva tower.
Mhe Rais hizi ni shutuma zinaweza kuwa sahihi au kwel. Kwakuwa wananchi hatujui ukweli huu..basi msimamishe Makonda na unda tume ya uchunguzi ili tujue ukweli huu.

Makonda amekosa moral authority ( haaminiki) tena kwa anaowaongoza na wananchi kwa ujumla. Ataweza VP kukemea rushwa wakati yeye mwenyewe anatuhumiwa. Makonda huyuhuyu aliunguruma Darajani/ kigamboni kuwa marehemu Masaburi amepokea rushwa. Na Rais ulimtoa masaburi kwa kashfa ya kutuhumiwa ya rushwa. Ni vyema Rais usiwe na double standard kwa Makonda mtoe naye na unda timu imchunguze amepata wapi pesa hizo.

Makonda pia anahusishwa na mtandao wa homeshoping au GSM.
So masabuli bwana. Unawataja marahem hovyo kwanini???
 
Kumbe watumia unga JF wako wengi, mbona wanawatetea sana hawa wauza unga? Hapo kuna mawili aidha members wengi ni watumiaji au wanalipwa kuja kutoa propaganda na wauza unga. Kazi kwei kwei.
Bado kuna Safar ndefu ya kufikia mafanikio ya kutokomeza mateja ila kwa mwendo huu aliouanzisha Makonda akiendelea kukaza basi Safar hiyo itakuwa fupi mfano wa hatua zake mbili tu kufika anapoelekea. Mateja wengi wamelivamia hili swala Ili kumkatisha tamaa Makonda na kusahau kuwa vita hii ipo kwa ajili ya kuokoa afya zao, maisha yao na ya vizazi vyao
 
Back
Top Bottom