Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,814
- 7,454
Makamo Mwenyekiti. Huoni yule mzee washamtumia sasa kawa karatasi ya msalani, na nyumba kachomewa, sasa wanataka damu changa.Uteuzi gani?

Mzee wewe unateuliwa lini, au wewe ndio zile (tools) wanasiasa wanazozitumia kufikia malengo yao.Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Mwamba Ni Balaa Kwelikweli. Hakamatiki Wala Hashikiki. Mungu Wake nI mkubwa sana na anatembea naye muda wote
Kuna jambo kubwa sana limepangwa na Mungu Wake Kwa Taifa letu ambalo litatimia. Mengi nilishaeleza Juu ya huyu Mwamba na namna gani ni hazina ya Taifa letu.
Nitakuja kuwaleteeeni NONDO kumhusu Huyu Mwamba
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3534406
Lucas Mwashambwa huyo ni toliet paper tu wakishatumia wana tupa chooniMzee wewe unateuliwa lini, au wewe ndio zile (tools) wanasiasa wanazozitumia kufikia malengo yao.
Muuaji na mbakaji namba moja, pamoja na mama yake Kitumbo.Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Mwamba Ni Balaa Kwelikweli. Hakamatiki Wala Hashikiki. Mungu Wake nI mkubwa sana na anatembea naye muda wote
Kuna jambo kubwa sana limepangwa na Mungu Wake Kwa Taifa letu ambalo litatimia. Mengi nilishaeleza Juu ya huyu Mwamba na namna gani ni hazina ya Taifa letu.
Nitakuja kuwaleteeeni NONDO kumhusu Huyu Mwamba
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3534406
Yule Mzee anayaangali chini chini ameshatilewa?Makamo Mwenyekiti. Huoni yule mzee washamtumia sasa kawa karatasi ya msalani, na nyumba kachomewa, sasa wanataka damu changa.
SawaUngeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
Wivu tu na roho mbaya ndio vinakusumbuaHii nchi bila KATIBA MPYA aisee sasa tunakwenda kutawaliwa na hata mataahira.
Huna akili kabisa weweMuuaji na mbakaji namba moja, pamoja na mama yake Kitumbo.
CHama kinachoiba kura kina jipya?Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Mwamba Ni Balaa Kwelikweli. Hakamatiki Wala Hashikiki. Mungu Wake nI mkubwa sana na anatembea naye muda wote
Kuna jambo kubwa sana limepangwa na Mungu Wake Kwa Taifa letu ambalo litatimia. Mengi nilishaeleza Juu ya huyu Mwamba na namna gani ni hazina ya Taifa letu.
Nitakuja kuwaleteeeni NONDO kumhusu Huyu Mwamba
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3534406
CCM ndio tumaini la watanzania wote. Ndio mtetezi wa wanyongeCHama kinachoiba kura kina jipya?
Chama kinachokaa kimya mauaji ya watz wengi kiasi hicho?
Hicho sio chama cha siasa, ni genge la wahuni na wezi kwenye ofisi za umma,magari ya umma na mishahara ya umma!