Makonda aendelea kupaa. Alamba Uteuzi Mzito Ndani Ya CCM

Makonda aendelea kupaa. Alamba Uteuzi Mzito Ndani Ya CCM

Ndugu zangu Watanzania,

Huyu Mwamba Ni Balaa Kwelikweli. Hakamatiki Wala Hashikiki. Mungu Wake nI mkubwa sana na anatembea naye muda wote

Kuna jambo kubwa sana limepangwa na Mungu Wake Kwa Taifa letu ambalo litatimia. Mengi nilishaeleza Juu ya huyu Mwamba na namna gani ni hazina ya Taifa letu.

Nitakuja kuwaleteeeni NONDO kumhusu Huyu Mwamba

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3534406
Albert Daudi Bashite ni mtekaji ,muuaji....Aliratibu matukio hayo

-ALimteka Roma
-ALimpiga TAL risasi
-ALimteka BenSaanane
 
Back
Top Bottom