Marekani haijaji-commit kivile kuisambaratisha ISIS wewe.
Hakuna nchi wala kikundi kinachoweza kupambana na Marekani katika conventional warfare.
when the bear has never being touched by the so called American.
hata wao wanajua,bila urusi wangeinyanyasa sana dunia.
hao ndio wababe wa marekani na marekani inajua mziki huu ni mwingine kabisa.
juzi walipiga jalamba eti waipige Siria.
Putin aliwaambia hawezi kuruhusu Siria ishambuliwe na NATO. mwishowe mpaka leo Asad ni Rais lakini kwa mgongo wa Urusi.
hapa marekani huwa agusi kabisa.
likaibuka swala la Ukrain.
Putin akajimegea aridhi ya Kremea, wamarekani wakata kupata uungwaji mkono wa Ulaya waishambulie Urusi kwa kuiadabisha, kwa nini aliomba msaada Ulaya? anajua mziki wake si wa kupigwa na nchi moja eti marekani. Ujerumani na Italy wanajua mziki huu kuwa ni wa wakubwa, walitosa mmarekani, wakaamua bora tu waweke vikwazo.
Hao waasi waliosalia wa Ukrain kule Doneski, wamendelea kuitesa serikali ya Ukrain na wamekuwa wakiziangusha ndege hatari za kivita ya Ukrain na mwisho marekani wanaishia kuilaumu urusi kuwa inawapa silaha nzito waasi na wanashangaa kuona wanasilaha nzitonzito kumili majeshi ya Ukrain yanayoungwa mkono na marekani na NATO.
mpaka jana nimesikia mchana DW RADIO nilisikia wanailalamikia Urusi kuwa inatoa silaha nzito kwa waasi na wakawalaumu waasi kwa kugoma kusitisha mapigano maana majeshi ya serikali yameelewa.
jioni usiku BBC wakatoa habari tena zinazoilaumu Urusi kuwa imepeleka silaha na dhana nzito kwa waasi.
the bear ni noma sana.
asingekuwepo bear hapo sawa ningekubaliana na maelezo yako. labda ungesema ukiitoa Urusi hakuna taifa la kupambana na Marekani. kidogo hilo lingejedilika