Babu Asprin inawezekana professor alikimbia kutiwa vidole sehemu zile, huo ugonjwa wa busha hata Hospital ya Magomeni angetibiwa. Inawezekana aliogopa kufanyiwa hapa. Professor aliogopa wange mnanihino wakati amepitiwa na kale kausingizi cha kupigwa kisu.
Madaktari wa kibongo wangempima siku mbili picha Zingesambaa mitandaoni.
tunapoita self defense unakuwa unaelewa maanake????sio mdawaote drone itafanya kazi kawaulize navy seal kama hawafanyi haya mambo tusiwe haters tuu
Drones haziwezi fanya kila kitu sawa na binamdamu ndiyo maana ISIS mashambulizi ya anga hayajafua dafu kwao ndiyo maana vinahitajika vikosi vya nchi kavu.
Ni wanyonge wao kweli, si unakumbuka The 1998 Sokcho submarine incident, wanajeshi 20 tu wa North Korea waliwahenyesha jeshi la S.Korea
Sasa ground troops zinapigana kwa mikono na mateke?
Soma comment ya nliyemjibu hivyo utaelewa kwanini nimemjibu vile
Still, hizo stunts za kuvunja vibao ni propaganda tu za kuchotea watu akili.
Hand to hand combat kwenye vita vye kijeshi ni sawa na hakuna.
Au unataka kunambia hao so called makomandoo wa kibongo wanaovunja vibao miili yao ni bullet proof?
Hivi na wale Republican Guard wa Saddam waliishia wapi? Manake Wamarekani baada ya 'shock and awe' waliingia Baghdad kiulaini bila hata resistance ya maana.
Au wao hawakufunzwa kuvunja vitofali na vibao kwa mateke na ngumi?
If you dont stand for something, you will fall for anything!!!!!!Nilichokuwa najaribu kumwambia ni kuwa drones haziwezi fanya kila kitu, sikuwa naunga mkono kuhusu kuvunja mbao kwa mkono wala matofali kwa kichwa maana hata mimi mazoezi hayo uwa yananichekesha.
Hahahahaah naona aliona akimeza atakosa katripu ka ughaibuni.
Janja sana le proffeseri. Na ule upimaji wa ile makitu naskia daktari lazima aingize dole kwenye kinyeo..... sasa madaktari wa bongo walivyo na hasira za kukataliwa nyongeza ya mshahara unahisi kingetokea nini?
Hizi stunts za kuvunja matofali ni propaganda tu.
Vita gani za hivi karibuni umeona hand to hand combat?
I'm not impressed one bit.
We hujui drones zinateka miji???!!!
Au hujui kuwa drones zinaweza kwenda front line??!!!
Yaani hujui drones zinaweza kwenda kukomboa mateka??!!
Acha mentality ya ki zamani!!!!
Watu hao walioendelea wangonga KRAV MAGA na JIU JITSU halafu wakwetu wanadhihakiwa!!!
nikikuuliza mguu pande mguu sawa,nyuma geuka huwa zinakazi gani unaweza kunipa majibu????
hizo drone unazozungumzia mbona hazija fanikisha kuwaondoa IS,
drone kazi yake nikushambulia ngome na ground front troops za adui tuu ili kukuwezesha wewe sasa kuweza kuwashambulia adui zako kwa urahisi kwa kukutumia pia ground troops yako,drone inasaidia nini katikati ya wajitoa muhanga???
je tunapozungumzia special force tunakuwa tunaelewa kweli,snipers wanakazi gani wakati drone zipo???Nadhani bado haujafanikiwa kupinga na hoja yangu kuwa bado hand to hand combat kama unavyoita kuwa haina msaada katika vita vya kisasa au vya zama hizi
Hizo ni formalities za kinidhamu tu.
Sasa kung-fu, karate, na kuvunja vibao na vitofali vya mchanga ndo vitawaondoa ISIS?
Drone kazi yake ni kushambulia targets za adui bila wewe ku suffer human casualties. Ndege zinazorushwa na marubani zinaweza kutunguliwa au zinaweza ku malfuntion na kudondoka kwenye eneo la adui. Sasa nani anataka kufa?
Vita vya miaka ijayo kwa kiasi kikubwa vitakuwa vinapiganwa na mashine tu. Hiyo yote lengo ni kupunguza human casualties.
Ni ground troops gani ambazo huwa zinapigana ngumi, mateke, na kabali vitani? Nani anaenda vitani kupigana kwa mikono? Utakuwa mjinga kweli ukienda kwenye uwanja wa mapambano ya kivita kwa mikono mitupu huku mwenzio akiwa na mi high powered rifles, humvees, mizinga, vifaru, pamoja na air support.
Hizo ni formalities za kinidhamu tu.
Sasa kung-fu, karate, na kuvunja vibao na vitofali vya mchanga ndo vitawaondoa ISIS?
Drone kazi yake ni kushambulia targets za adui bila wewe ku suffer human casualties. Ndege zinazorushwa na marubani zinaweza kutunguliwa au zinaweza ku malfuntion na kudondoka kwenye eneo la adui. Sasa nani anataka kufa?
Vita vya miaka ijayo kwa kiasi kikubwa vitakuwa vinapiganwa na mashine tu. Hiyo yote lengo ni kupunguza human casualties.
Ni ground troops gani ambazo huwa zinapigana ngumi, mateke, na kabali vitani? Nani anaenda vitani kupigana kwa mikono? Utakuwa mjinga kweli ukienda kwenye uwanja wa mapambano ya kivita kwa mikono mitupu huku mwenzio akiwa na mi high powered rifles, humvees, mizinga, vifaru, pamoja na air support.
Nyani ngabu nakuamini siku nyingi lakini unaniangusha kwa majibu haya. Physical exercise na combat ni muhimu kwa mwanajeshi yeyote hata daktari wa kijeshi au mpishi wa kijeshi. Kuna sehemu umeishiwa kila kitu,silaha,evacuation assistance au hata msaada wowote ule. Inabidi utumie mwili wako tu kujiokoa toka kwa maadui.Hata kama umetekwa na wataka kujiokoa. Combat technique huwa zinasaidia. Tusibishane tu mradi tukuze mjadala.
Naona Mkuu unapinga kila kitu na hautaki tuelimishane.
Nitajie sehemu ambazo kupitia drones tuu na watu wakachukua ushindi wa mapigano.
Pia naomba nikufahamishe kuwa US ni taifa ambalo mda wote linatumia askari wake ktk mapambano, na wana Teknolojia ya hali ya juu sana. Je, mbona hawakufua dawa kwa Vietnam au Alshabaab ilhali wana kila aina ya siraha.
Kingine cha kujiuliza, US ni moja ya nchi ambazo ni fundi kwenye mambo ya Anga jeshini, sasa kwanini akitaka kuvamia sehemu ni lazima awachukue vibaraka wake kama UK na German n.k
Asikwambie mtu Mkuu, vita vya chini ndio vita ngumu kweli kweli na ndio vita inayotoa majibu, Israel pamoja na kupiga sana mabomu Gaza, mwisho wa siku waliingia kwa miguu Gaza..