Tetesi: Makinikia yameanza kusafirishwa tena?

Kwa taarifa yako mtoa mada km ni dhahabu zinasafirishwa kawaida kabisa, kelele zile walizopiga sjui mareport yalikuwa kwa ajili ya wajinga wengi wasojua undani wake
 
Kwa taarifa ya wote usinibebeshe mimi mzigo.Uzi wa sasa makinikia ni ruksa kusafirishwa kama ni tangu december mbona sijauona humu.
 
Ndo ujue migodi yote inasafirisha makinikia pamoja na dhahabu ambayo tayari ishachenjuliwa plant.....njoo uku nikuelekeze sasa na hawajawai simama izo shughuli eti kisa mwendazake
 
Wakuu,
Kwa niliyayona jana na juzi sitasalimia naenda moja kwa moja kwenye maandiko yangu.

Nilisafiri kwenda kijijini mara moja kwenda kutafuta mazao kwani wakulima nikafika kijiji kimoja kinaitwa Ilogi huku Kakola mkoani Shinyanga. Nikiwa katika mizunguuko nikakuta malori haya makubwa Semi Trailer yanaelekea Mgodini bulyanhulu.

Nilishangaa kidogo maana nilihesabu nikafika 40 nikaacha kuendelea kuhesabu vumbi lilikuwa kubwa sana.Hiyo ni juzi jioni.Nikajisemea ngoja niendelee na kuhangaikia yaliyonileta niachane na mambo ya watu.

Jana mchana nikiwa nakula wali samaki nikaona vumbi limeanza nikasema niangalie kunani.Hamadi Malori yakaanza kuelekea kahama au Mwanza mimi sijui maana yalitokea upande wa mgodini yakawa yanapita kijiji cha Kakola,mimi nilikuwa Kili Time. Baada ya kuhesabu Malory yakafika 52 niliamua kuacha nikaamua kuawadadisi watu waliopo jirani yangu.

Majibu niliyopewa yalinihuzunisha sana sana sana. Niliambiwa ni Makinikia yameanza kusafirishwa na yale maalory yalikuwa yamebeba huo mchanga kwenda kuuprocess nje ya Tanzania. Majirani zangu waliniambia mchanga uliokuwa umezuiliwa kipindi cha Rais Wangu usitoke sasa unatoka maana hayupo Tena.

Machozi yalinilengalenga nikajiuliza swali ambalo sikupata jibu. Nimekuja ili Mnijibu Nyie.

JE HII NI KWA FAIDA YA NANI?AU NI SAWA NA NDEGE AINA YA KANGA MWENYE CHONGO AU JICHO MOJA KILA AKICHAKUA/FUKUA ANAWAFUKULIA WAZIMA(WENYE MACHO YOTE MAWILI?)

Jioni Tena malory yakaanza kuingia kutoka mjini kwenda mgodini, sikuona sababu ya kuhesabu niliamua kuondoka maeneo yale ambapo ningeweza kuhesabu malori nakaingia Minza ambapo malory huyaoni maana hayapiti maeneo hayo.

Leo sitakaa maeneo ya barabara kuu najua yatapita tu malori yanayotibua nafsi yangutena.

Je hiki ndicho tulichokuwa tunakitaka? Nani anafaidika? Kwa manufaa ya nani? Au ndio wamepewa Ruksa kama wawekezaji? Au wapiga dili wameanza?
Hilo kama ni kweli, basi na walaaamiwe waliohusika kuridhia wizi huo uendelee! RIP shujaa wetu mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli 😭, tutakukumbuka daima shujaa wetu, pumzika kwa amani ya milele mahali pema penye raha na mwanga wa milele, amen🙏!
 
Mbona kama unapata faida makinikia yakisafirishwa?Au ndugu zako wanapata Ganchi?

We ndio mmbea maana umesema hawajasitisha kusafirisha,then unataka picha ya Malori.
kama ganji labda alikula mwendazake aloruhusu yasafirishwe.
 
Hilo kama ni kweli, basi na walaaamiwe waliohusika kuridhia wizi huo uendelee! RIP shujaa wetu mh. Dr. John Pombe Joseph Magufuli 😭, tutakukumbuka daima shujaa wetu, pumzika kwa amani ya milele mahali pema penye raha na mwanga wa milele, amen🙏!
Uzuri wa laana haipotei angani na ikikosa wa kumpata inarudi kwa aloitoa. Mwendazake ndo aliruhusu yaendelee kusafirishwa. so hiyo laana itakimbilia straight kwa shujaa...mngempumzisha tu.
 
Huyo aliyeruhusu au atakayeruhusu kusafirisha makinikia na kusababishia hasara kwa taifa la Tz huyo na alaaniwe, na watu wote waseme amen!
 
Magufuli aliyazuia had walipo weka utaratibu alio ukubali yeye na yakaanza kusafirishwa kwa escort ya polisi mwanzo yalikua yanaondoka bila escort ya polisi na hapa kipind Cha kat kat yalisimama kwanza kutoka ila sahiv yameanza Tena lakin hata magu akiwepo yalitoka pia
Kusafirishwa kwenda wapi? Jiwe alisema makinikia yasisafirishwe mpaka hapo itakapojengwa SMELTER hapa hapa nchini; sasa si wamesema SMELTER imejengwa huko Mwanza sasa makinikia yanasafirishwa pengine kwenda Mwanza!!!
 
Wakuu,
Kwa niliyayona jana na juzi sitasalimia naenda moja kwa moja kwenye maandiko yangu.

Nilisafiri kwenda kijijini mara moja kwenda kutafuta mazao kwani wakulima nikafika kijiji kimoja kinaitwa Ilogi huku Kakola mkoani Shinyanga. Nikiwa katika mizunguuko nikakuta malori haya makubwa Semi Trailer yanaelekea Mgodini bulyanhulu.

Nilishangaa kidogo maana nilihesabu nikafika 40 nikaacha kuendelea kuhesabu vumbi lilikuwa kubwa sana.Hiyo ni juzi jioni.Nikajisemea ngoja niendelee na kuhangaikia yaliyonileta niachane na mambo ya watu.

Jana mchana nikiwa nakula wali samaki nikaona vumbi limeanza nikasema niangalie kunani.Hamadi Malori yakaanza kuelekea kahama au Mwanza mimi sijui maana yalitokea upande wa mgodini yakawa yanapita kijiji cha Kakola,mimi nilikuwa Kili Time. Baada ya kuhesabu Malory yakafika 52 niliamua kuacha nikaamua kuawadadisi watu waliopo jirani yangu.

Majibu niliyopewa yalinihuzunisha sana sana sana. Niliambiwa ni Makinikia yameanza kusafirishwa na yale maalory yalikuwa yamebeba huo mchanga kwenda kuuprocess nje ya Tanzania. Majirani zangu waliniambia mchanga uliokuwa umezuiliwa kipindi cha Rais Wangu usitoke sasa unatoka maana hayupo Tena.

Machozi yalinilengalenga nikajiuliza swali ambalo sikupata jibu. Nimekuja ili Mnijibu Nyie.

JE HII NI KWA FAIDA YA NANI?AU NI SAWA NA NDEGE AINA YA KANGA MWENYE CHONGO AU JICHO MOJA KILA AKICHAKUA/FUKUA ANAWAFUKULIA WAZIMA(WENYE MACHO YOTE MAWILI?)

Jioni Tena malory yakaanza kuingia kutoka mjini kwenda mgodini, sikuona sababu ya kuhesabu niliamua kuondoka maeneo yale ambapo ningeweza kuhesabu malori nakaingia Minza ambapo malory huyaoni maana hayapiti maeneo hayo.

Leo sitakaa maeneo ya barabara kuu najua yatapita tu malori yanayotibua nafsi yangutena.

Je hiki ndicho tulichokuwa tunakitaka? Nani anafaidika? Kwa manufaa ya nani? Au ndio wamepewa Ruksa kama wawekezaji? Au wapiga dili wameanza?
Ni kweli Mimi toka juzi nmeona tuna safari ndefu Sana
 
Hivi unajua kuwa mkataba wa Twiga gold ulisainiwa wakati wa magu?.....moja ya kipengele kwenye mkataba huo uliruhusu kusafirishwa kwa makinikia?......Mwacheni Mama afanye kazi
 
Na yeye akisema aliona utakataa???

Unamtaka alete fact ikiwa wew mwenyewe hujaleta fact.
Nimeona malori,nimeelezea tetesi zilizopo kuwa ni makinikia.Kwenye tetesi unataka fact zipi?Yeye ana uhakika alete facts!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom