Makinikia special thread 12/06/2017

Makinikia special thread 12/06/2017

onyx

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2016
Posts
1,587
Reaction score
1,317
Tuwe pamoja tufahamishane kitakachojiri.Leo ndio siku tutafahamu ni kiasi gani tumepoteza na hawa wezi tuwafanyeje kisheria

Waleteeeeeeeee!
 
Mpaka sasa dakika ya 45 kipindi cha kwanza Magufuli 3-0 Lissu...
Ila nina hofu na kipindi cha pili,Lissu aweza yarudisha yote na kuyaongeza!
 
Mpaka sasa dakika ya 45 kipindi cha kwanza Magufuli 3-0 Lissu...
Ila nina hofu na kipindi cha pili,Lissu aweza yarudisha yote na kuyaongeza!
Mkuu Lissu anaingiaje hapa kwenye makinikia, kwani Lissu ni geologist
 
Leo nimechukua ED ya siku mbili kabisa ili nisikilize vizuri na niweze kushiriki mijadala mbalimbali bila kubugudhiwa
 
Tuwe pamoja tufahamishane kitakachojiri.Leo ndio siku tutafahamu ni kiasi gani tumepoteza na hawa wezi tuwafanyeje kisheria

Waleteeeeeeeee!
Kwanini tunatumia SMG kuua kiroboto?
 
Back
Top Bottom