Makinikia special thread 12/06/2017

Leo ndio siku nyingine mtu anataka kujionyesha kwamba yeye yupo kwa ajili ya WANYONGE wa Nchi hii.

Kumbe nalo ni jizi tu kama majizi mengine ya huko nyuma.

Shame.
 
Hivi nyie hamuna kazi za kufanya??? Nendeni kwanza makazini....!! Tushamalizana siasa no mpaka ishirini ishirini ebooo ngoja nimuite bashite na baba yake...!!
 
[QUOwrote MAHORO, post: 21571713, member: 168268"]Hivi nyie hamuna kazi za kufanya??? Nendeni kwanza makazini....!! Tushamalizana siasa no mpaka ishirini ishirini ebooo ngoja nimuite bashite na baba yake...!![/QUOTE]
Sio wote ni waajiriwa.Wengine tuna mashamba na miradi mungine.Leo sitaki kupitwa maana jina langu onyx ni aina ya madini yaliyopo nchini. Nadhani hili utakuwa unafahamu kwa Mara ya kwanza
 
Mpaka sasa dakika ya 45 kipindi cha kwanza Magufuli 3-0 Lissu...
Ila nina hofu na kipindi cha pili,Lissu aweza yarudisha yote na kuyaongeza!
Hivi bado unafikiria mchanga wakati pesa huna,wonders kweli shall never end nchi hii
 
Bado Massa mawili. Tuendelee kuwa pamoja; nipo maeneo ya posta ndio najongea
 
Wakuu mda si mrefu shughuli yetu itaanza.Kaeni mkao wa kula
 
Back
Top Bottom