Makinikeni na huu utapeli wa FB

Makinikeni na huu utapeli wa FB

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,869
Reaction score
828,386
Soma hili tangazo

We are moving back to our country and we've decided to sell our household items and appliances.

Text me via WhatsApp for more info: +44 7360686752

Pick up or can help deliver at an extra fee.
Thank you.

Wanajifanya ni foreigners wanaondoka nchini hivyo wanauza vitu vyao vya ndani kwa bei chee
Hayo matangazo yao yanakupeleka WhatsApp .. Huko ukikipenda kitu unaambiwq ukilipie nusu kisije kikauzwa kisha wanakutumia number ya Mpesa yenye majina ya Kibantu

Hizo number za nje zinazotangaza FB ziko kama 5 hivi na hizo za Mpesa ziko kama 3 hivi majina tofauti
Cha kushangaza unaweza ukachat na namba mbili au tatu kwa wakati mmoja na kila number ikakupq bei yake tofauti ya kitu kilekile. Lakini ukishakipenda utaletewa msg inayofanana ya kulipia nusu ili ku reserve bidhaa isiuzwe
Location wanazotoa ni magorofa na apartments za Masaki Mikocheni na Msasani
 
We are relocating back to USA
WhatsApp
+1 (343)-519-5403
Or
+255796737809
Washing machine 600,000tsh
Refrigerator 950,000 tsh
Camera 550,000tsh
Air fryer 120,000 tsh
Dispenser 120,000 tsh
Vacuum cleaner 150,000 tsh
Recliner seats 950,000tsh
Non stick pans 150,000 tsh
cabinet 300,000 tsh
Reclining chaise lounge chair 240,000 tsh
Dinning set 400,000 tsh
Sumsang 65"TV 230,000tsh
JBL party box 350,000tsh
Electric bike 340,000tsh
Chess set 120,000 tsh
Kitchen mixer 190,000 tsh
Electric Cooker 380,000 tsh
Tread mill 600,000 tsh
Bicycle 200,000tsh
Ex-pro Motorbike 1,500,000 tsh
Dumbbells 190,000 tsh
Desk electric up and down Apple key 300,000- tsh 150,000 tsh
Nightstands(large) 400,000tsh
Outdoor furniture 500,000 tsh
Trampoline 600,000 tsh
Piano 400,000 tsh
Non sticky pans 200,000 tsh

Only interested buyers to Whatsapp.
Delivery at an extra cost.
 
Back
Top Bottom