Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Tulikuwa na kesi moja ngumu sana leo... Mwenzetu kasafiri huko makao makuu ya nchi, tamaa ikamshika, kaenda viungani akaopoa mrembo wa ukweli sana.. Wakafanya yao kwa siku tatu mfululizo alizokuwa huko! Hakunyimwa kitu...! Kapewa mahaba na ukoko wake ILA akadanganya mengi..! Moja kubwa akisema ana watoto lakini hana mke...!!! Ni wiki sasa anateseka na dunia...gearleaver imepaki.. Popo haliamki kwenda mawindoni.. True story....!!!

Pamoja na haja zetu
Pamoja na tamaa zetu
Pamoja na libido zetu...!!! Tafakuri ni muhimu sana..! Huko pahali kuna ushirikina wa kutosha sana...! Kuna mapepo, kuna mashetani, kuna majini, kuna viumbe roho nusu watu...!!!

KATAA KUBALI ushirikina upo.. Na manii zako ni malighafi inayohitajika mno huko kwenye ulimwengu wa giza...! Kumbuka pia hata nyota yako inawindwa...! Mateka wa kitoho pia wanatafutwa kupitia ngono...! Kuna watumwa wa kutosha tu wanaotumikia mamlaka za siri bila ufahamu wao kupitia ma agent wa ngono..!!!
Tamaa ya maramoja inaweza kuvuruga future yako
Tamaa ya maramoja inaweza kusambaratisha familia yako
Tamaa ya maramoja inaweza kupoteza kazi yako
Tamaa ya maramoja inaweza kukugombanisha na marafiki wema
Tamaa ya maramoja inaweza kukupa ulemavu wa maisha kiroho na kimwili...

Dunia ni zaidi ya uijuavyo.. Si kila ukionacho ni halisi..! Usiku huu wa hii weekend kuna maingizo mapya kwenye hayo madhila... Kama ukifanikiwa kusoma hii mada..! Mungu akusaidie sana..!!!

Yangu ni hayo tuu...!!!.... MSTAAFU.!
Mstaafu si ulitukubalie tule haramu ilinona.sasa imekuaje tena.
 
Asante sana! .. Umeandika mambo mazuri na yenye faida.
Je, unamsaidiaje mtu ambaye tayari amekwisha dhurika?
Kwanza kabisa anatakiwa akiri madhaifu yake, tamaa ameumbiwa mwanadamu. Afanye Toba ya kweli kwa Mungu wake kwa imani yake. Achukie hayo matendo machafu ya zinaa kutoka ndani kabisa ya nafsi yake kwani ndio mlango wa kukaribisha pepo wachafu.
Hakika dhambi ni chukizo la Mungu kwa mwanadamu. Unapofanya yale yanayomkosea Mungu wako maana yake unajiweka mbali nae nae unajitenganisha na rehema zake pia.

Ibilisi/ pepo/ shetani huyatumia madhaifu yetu (ikiwemo tamaa) kama fimbo ya kutuchapia pale tunapoteleza.

Ndio maana hata Manabii walipowaponya watu waliwaambia, "Usitende dhambi tena"

Akiishi katika njia sahihi impendezayo Mungu wake hakika kila jambo lake litarudi kwenye mstari.
Kama ameathiriwa zaidi, ushauri wangu amtafute kiongozi wake wa kiroho ili amsaidie kwa msaada zaidi,
kama ni muislam amtafute shehe wake ambae sio mganga, ambae anatekeleza misingi thabiti ya kiimani anaweza msaidia,
Na kama ni mkristo amtafute kiongozi wake wa kiroho ambae hana mambo ya kishirikina kwa msaada zaidi.
 
Wanaume wanarogwa sana, ni watu wa kuwaonea huruma tu....

Mshana hivi manii zinazohitajika kumroga mwanaume ni zile fresh kutoka kwenye kichupa au hata zikishaingia nikazichota kwenye kakisima kangu zinafaa?
Haaa jamaniiiii dada mzuri
 
Mshana acha tule tu as long as tumejitoa ufahamu,maana ukijitoa ufahamu Unaweza kula chochote na usidhurike, ona machizi wanakula majalalani hawaumwi,so na mi nkiraga hao viumbe uwa najisitchw on that position maana tangu nimeaanza kula hizo takataka ni Mungu tu sijawahi kutana na hayo maswahibu
 
sasa kama ni hivo Dai si angekuwa maskini wa kutupwa?
Mkuu usisafirie nyota ya mtu mkuu, kwani hauwezijua huyo Dai mwenyewe baada ya kufanya hayo anapita wapi na anafanya yapi!

Kuna watu wengine iwe ni watu maarufu, wafanyabiashara wakubwa, wanamuziki wakubwa, mastaa mbalimbali nyota zao ni za ndagu.
Ndio maana Sio ajabu kuwaona baadhi yao wanabadilisha wanawake/ wanaume kama nguo halafu jamii inabaki kuwashangaa. Siri wanaijua wao wenyewe yakufanya hayo. Kwa kawaida kila mtu ana nyota yake ya mvuto na talanta mbalimbali sasa wao walishaligundua hilo. Nisizame sana huko nirudi kwenye Mada, kwahiyo zinaa ni mbaya mkuu.
 
umesema kweli kabisa,nlikuwa nakaa maeneo flani hv kuna guest inalaza machangu tu wakitoka mawindo af kuna bar hapo,nliachaga biashara ya kuwanunua baada ya siku moja kuwasikia wakisema wanataka kwenda kwa mganga akambadilishie K mana ya mnyama aliyomwekea anaona haifai ana-feel kabisa anagongwa yeye,sa sijui iliwekwa ya mbuzi
Fisi mkuu, singida hii kitu inatumika sana na wanajitoa clone, mwanamke mmoja anaweza jigawa mara tano kwa wakati mmoja...namaanisha
 
Mshana Jr hii kitu ipo kaka, Singida wana teknolojia moja , changu mmoja anajitoa clone mpaka tano, na anatumika kwa pamoja, nina maana mimi naweza mchukua huyo mwanamke na mwingine akamchukua hiyo huyo na mwingine akamchukua huyo hiyo katika muda mmoja bila ya nyinyi kujua, sasa ishue inakuja kuwa mbaya kwa wale wazee wa kuvutana aka wazee wa kuppiga rivas, ukimzeuza tu hapo ndio anageuka fisi live...nimeshuhudia sijasimuliwa.
 
Aisee ni kama kila kona tunawindwa kuna kipindi nikiwa uchumi wa kati , niliajiri mwanamke mmoja kunisaidia kufua baadhi ya nguo na usafi wa ndani, alikuwa kama anajilengesha halafu mimi sina mpango kuna siku aliniletea chakula sijui kilibaki walikuwa na sherehe kukila ndio ikawa kosa sijui kilikuwa na nini ila alinimiliki karibia mwaka mmoja na nusu.

Mwanzoni alikuwa hata hanivutii ila ilikuwa nikimuona kama nachanganyikiwa najiona nipo juu ya dunia mshahara wake ulikuwa 30,000 kwa mwezi maana alikuwa anakuja na kuondoka, ila alifikia hatua akiomba hata 300,000 siku hiyo nitazunguka kama ni kukopa lazima azipate, alinipa raha yule mwamamke ila uchumi uliyumba na nilikuwa sipingi mawazo yake. Naiskia ana duka la jumla siku hizi Tabata na mimi ndio kama naanza kujitafuta upya maana mikosi na uzembe viliniandama, sasa hivi naishi kwa akili sana na hawa viumbe...hata shuleni tulifundishwa kisa cha "ngoswe penzi kitovu cha Uzembe"
Na wewe kwa nn ulikula?
 
Back
Top Bottom