Makinika! Sio kila changu ni binadamu

Hii Hali Ndio Inanitesa Hata Mimi. Hayo Yote Hata Mm nilifanyiwa Kuletewa Chakula La Ex wangu , Kulishwa Chakula na Watu nisiowajua Nikijua Ni Wema Sana ila Sasa Hivi Nikikumbuka Roho inaniuma Sana Maana Mambo Yangu Hayaendi Kabisa Kama Zamani
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]akifa ni afadhali yako maana kishikio kitakuwa kimekatika.. Ni sawa na hasi na chanya moja ichomoke..! Usije ukamuua kwa makusudi lakini[emoji23]
Ngoja Tuendelee na Dozi ya Chumvi haya Mambo Leo Hii ndio naamini yapo. Siku zote Akili yangu ilikuwa kama Imefungwa Nafanya Jambo bila Kushirikisha Akili kwanza.
 
Asante Comrade..huu ufahamu wengi hatuna..na wajinga wenzangu washaanza kusema unatutishaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ndio maana Neno la mungu linasema..Watu wa mungu wanangamia kwa kukosa maarifa.....!
Ndugu zangu..lisemwalo lipo kabisa...ila kwa sasa waweza bisha..hadi likukuteπŸ˜€
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Wengine huwekewa mafisi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nilishuhudia nikiwa sekondari.Jamaa yangu alikua na mahusiano na biniti mshirikina.Kapiga sana matukio.Alipokamatwa ndo akafungguka kua hata boyfriend wake huwa halali nae,ana uchi wa fisi ndo humuwekea.
 
Hii nilishuhudia nikiwa sekondari.Jamaa yangu alikua na mahusiano na biniti mshirikina.Kapiga sana matukio.Alipokamatwa ndo akafungguka kua hata boyfriend wake huwa halali nae,ana uchi wa fisi ndo humuwekea.
Hahahahaa duh [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2][emoji2]
 
Yote hayo ni kwasababu ya maisha magumu.
 
bro mshana kati ya thread zako zenye ujumbe positive na hii hapa ni mojawapo.Big up sana coz hata mimi nashukuru Mungu sana nlienda mji unaosifika kwa watoto wakali kama wanavyowaita lakini nashukuru Mungu japo mawazo ya kufanya upuuzi yalinijia ila mpaka ninaondoka sikumtendea Mungu dhambi ya zinaa kabisa.
 
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] Baki na msimamo huohuo na Mungu atakubariki na zaidi...!!!
 
Mbona kama huu uzi umenipiga shoti [emoji44]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…