Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

Makinika na mijusi wa ndani ya nyumba!

Ipo siku utaelewa..

Wacha MAISHA yaendelee.
In my house there's dolls everywhere kuanzia mlangoni hadi nilalapo.

Manufacturers wa hizo dolls ndio haohao wametengeneza hicho kifaa unachokiita sim au computer kwanini hausemi hicho kinaleta majini
 
In my house there's dolls everywhere kuanzia mlangoni hadi nilalapo.

Manufacturers wa hizo dolls ndio haohao wametengeneza hicho kifaa unachokiita sim au computer kwanini hausemi hicho kinaleta majini
Bado maarifa yako ni kiduchu,

Waliowahi kwenda kwa waganga wapiga ramli, watakubaliana na Mimi kuwa kuna midoli.

Akitaka kumduru mtu, huchukua mdoli akataja jina la mlengwa, akachoma sindano na kutamka maneno Ili Pepo liende kwa mtu, mdoli ukitumika kama "portal" kibebeo.

Unajua kuhusu Portals?
 
Huyo mjusi alikuwa special sana, kwa wenye machale kama mimi asingechukua round...

Ninapoishi kuna vile vimijusi vidogo, huwa vinakuwa ndani na nje, ila sijaona kama kuna "red ⏰" kwao.

Mfano saivi nimetoka kuchungulia nje, nimemuona mmoja anakomaa na kula wadudu, kama ujuavyo msimu wa mvua huu usiku kuna vi midudu virukavyo vingi....
Wacha weee!!!
 
maombi si lazima uokoke .. sheria ya maombi ni upole na unyenyekevu bila kusahau nia tu haihitaji sijui jina la nani wala haihitaji uokovu . achanen na utumwa wa kijinga.
 
Back
Top Bottom