ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,445
- 20,192
Pia ana majivuno fulani ukimdekeza sana anajiona ana haki ndani ya nyumba kuliko nyinyi mlio mfuga.Kwel ww unamjua paka vilivyo,kuna mda anakuangalia kwa madharau , sijui anakuonaje[emoji1787][emoji1787]