Makinia ya dhahabu ni salama kiasi gani?

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,983
11,404
Tumeambiwa hayo makontena yaliyozuiliwa sio mchanga wa kawaida ni makinia.

Nauliza hayo makinia yatakaa hapo kwa muda gani? Usalama wake ukoje? Hayana miozi hatari au fumes zenye sumu? Wenyewe wanasema yana sumu ya sulpher oxide kwa kemia ya form two hiyo ni sumu tayari. Ingefaa hayo yaliyoko bandarini wayaache yaende kuondoa madhara kwa watu.
 
Hizi vocaburaly nyingine zinatutoa kwenye reli. Kimsingi sisi wananchi tutashindwa kuelewa mahitaji ya msingi kwenye hii issue
 
Back
Top Bottom