Nimeisoma dada na uloyasema yana ukweli kabisa Fixed Point!
Kwa ndoa nyingi nilizoziona....waume ndo wanaongoza kwa kuogopeka, sasa sijui inamaanisha kuwa wa mama ndo wana kibarua kikubwa cha kuufanya huo urafiki uwepo??
Mr Rocky wewe endelea kuchanganyikiwa tu, sasa nifanyaje ndo tabasamu langu? ha haaaaaaaa.Fixed Point bana nikiona hiyo avatar yako nachanganyikiwa hata kuchangia nashindwa bana
hilo tabasam ni balaa #
kwenye ndoa tunapaswa kuheshimiana na siyo kuogopana. kama wewe mdada utakubali kuingia kwenye ndoa ilhali ukiwa unamwogopa huyo mchumba wako, unafanya kosa kubwa sana. hutaweza kuondoa huo uoga ukiwa ndani ya ndoa, yaani utaendelea kuogopa maisha yako yote. Mimi naamini kama ukijenga mahusiano mazuri wakatio wa urafiki/uchumba, kuwa free na mwenzio, there is no way utakuja kumwogopa mkiwa ndani ya ndoa, lakini kama urafiki wenu ulikuwa wa kuogopana, mkioana mtaendelea kuogopana.Nimeisoma dada na uloyasema yana ukweli kabisa Fixed Point!
Kwa ndoa nyingi nilizoziona....waume ndo wanaongoza kwa kuogopeka, sasa sijui inamaanisha kuwa wa mama ndo wana kibarua kikubwa cha kuufanya huo urafiki uwepo??
kwenye ndoa tunapaswa kuheshimiana na siyo kuogopana. kama wewe mdada utakubali kuingia kwenye ndoa ilhali ukiwa unamwogopa huyo mchumba wako, unafanya kosa kubwa sana. hutaweza kuondoa huo uoga ukiwa ndani ya ndoa, yaani utaendelea kuogopa maisha yako yote. Mimi naamini kama ukijenga mahusiano mazuri wakatio wa urafiki/uchumba, kuwa free na mwenzio, there is no way utakuja kumwogopa mkiwa ndani ya ndoa, lakini kama urafiki wenu ulikuwa wa kuogopana, mkioana mtaendelea kuogopana.
tunaweza tukawaelewa wazee wetu maana enzi hizo kulikuwa na uwezekano kabisa wa kuoana kabla hata hamjazoeana au hata hamjuani, kwa hiyo inachukua muda kumzoea mwenzio hasa ndani ya ndoa, na kusipokuwa na jitihada za lazima, mtaishia kuogopana mpaka mwisho wenu, lakini siku hizi................................ watu mnakuwa pamoja, mnaachana, mnaanza tena, mnaachana.................... mpaka mje muoane ............
Yaani bora niseme tuu ukweli bana. Naishiwa point nikiona tabasam hilo. Haya bana mi sina La kufanya acha tuu niendelee kuumiaMr Rocky wewe endelea kuchanganyikiwa tu, sasa nifanyaje ndo tabasamu langu? ha haaaaaaaa.
Pole mwaya kwa kuishiwa points kwa tabasamu langu