MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Ila heading ina utata kidogo, mimi ninasupport 'a husband who is also a friend'.
jamani Mwanajamii huko mnakompeleka siko,mme ni kichwa cha nyumba,lazima asikilizwe,aenziwe ndo nyumba itakuwa nyumba.Msitake kuleta mambo ya familia ya kambare hapa ambapo kila mtu ana sharubu.
Kaunga,Mrembo na Marry ( namwongezea na Lizzy nimemsoma hapa chini),jamani Mwanajamii huko mnakompeleka siko,mme ni kichwa cha nyumba,lazima asikilizwe,aenziwe ndo nyumba itakuwa nyumba.Msitake kuleta mambo ya familia ya kambare hapa ambapo kila mtu ana sharubu.
unaleta udot com eh?si ndo hizo ndoa fasta wiki vimebaranguka?Kwani ukiwa rafiki ndo heshima hamna? Acha hizo wewe. . .
Alafu kesho nakuja na thread ya Wanaune wa kiMassai nadhani utaipenda usotaka urafiki kati ya mke na mume.
kwani mimi nawamisi konnie na Lizzy? Waende zao huko.Bishanga bwana, sasa ukiwa kichwa cha familia ndio uwe adui (kinyume cha rafiki); look at ur relation with Kongosho na Lizzy, huoni kuwa mzaha/utani au uhuru kama huo ukiwa nao na mkeo, usipokuwa naye for few hrs unammiss?