Makinda vs Sitta

Makinda+Makamba=:blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah::blah:


Huwezi kuwalinganisha na SS man.
 
Bajaji+na+Abiria+7.JPG



VS



Mercedes-Benz-ML-63-AMG_2.jpg

Hiii kali haki ya walai....nadhani mwenye kutaka kuja asilimia hapa umemwelewesha.Zoezi limekwisha nalifunga rasmi.ASANTENI WADAU WOTE HAPA NDIO HITIMISHO.
 
SIX yuko juu sana jamani hebu acheni kabisa kumlinganisha na kilaza hiki cha mafisadi!!
 
Wakuu,
Mzee six angelinganishwa na akina hayati Sapi Mkwawa, Msekwa lakini sio kwa mwenye jinsia inayoongoza mjengo kwa sasa.
Mzee six nakupa 90% kwa wengine woote waliomtangulia pamoja na predecessor wake sasa.
 
kumfananisha sisimizi na tembo.

Sioni kabisa haja ya kuwalingalisha. Makinda kama mwanamke wa kwanza kuwa spika amewaaibisha sana wanawake wa tanzania. Anawawakilisha vibaya sana. I know there are capable women out there but not this lady. She is an opportunist and a remote controlled body.
 
Jamani najitahidi sana kumpa makinda alama za juu lakini kila nikijitahidi naona inatokea 15% na sita 85%
makinda kwenye bunge hili kaingilia mlango wa kutokea... she is not fit for this bunge.:blah:
 
Back
Top Bottom