Plot4Sale Kinahitajika kiwanja kuanzia sqm 1200

Plot4Sale Kinahitajika kiwanja kuanzia sqm 1200

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
7,915
Reaction score
14,638
Habari wana jamvi.

Mdau mmoja anahitaji kiwanja kuanzia sqm 1200 katika moja ya maeneo haya.

1. Kinyerezi
2. Kifuru
3. Segerea
4. Goba
5. Mbweni
6. Madale

Sifa ya kiwanja/eneo

1. Tambarare au kama mlima usiwe mkali sana slope yake.
2. Kinafikika kwa barabara vizuri
3. Neighborhood nzuri au kama ni mji uwe ndio unakua.

Mwenye nacho anaweza weka hapa au PM.
Kama ni dalali uwe na huruma usiweke cha juu kupitiliza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom