Makinda vs Sitta

Mtu anaitwa Makinda.Kinda ni toto hasa la ndege sasa Makinda ni mengi. Hivyo inaonesha kuwa Makinda huwa yanajifunza kula yenyewe pia na kuruka,tusimlaumu sana spika kwani yeye bado kinda na hajatambua anatakiwa kufanya nini anapo mwona kipanga.
 
BIN BOR Mtake radhi Sita, amekukosea nini mpaka unamtukana. Hivi kweli imefika mahala pa kumfananisha huyu mzee na Anna Makinda? Hata kama amekukosea kitu sidhani kama ulistahili kujichukulia sheria mikononi na kumtukana.

angalia post #18
 
Bajaji+na+Abiria+7.JPG

VS

Mercedes-Benz-ML-63-AMG_2.jpg

Hii imekaa vizuri,umelenga mkuu
 
Usiweke neno, weka tu % ya kila mmoja wao.

Kuwa fair ni kuwapima kwa vikao vyao wiwili vya mwanzo walivyoongoza pale Bungeni na siyo Sitta miaka mitano na Makinda miezi 4!

Kumbukeni hata Sitta alianza kama Makinda, au tumesahau alivyosimamia upitishwaji wa adhabu ya Zitto!!!!!
 
wape fifty fifty basi ili gemu letu liendelee, au hujasoma title.
 
BIN BOR Mtake radhi Sita, amekukosea nini mpaka unamtukana. Hivi kweli imefika mahala pa kumfananisha huyu mzee na Anna Makinda? Hata kama amekukosea kitu sidhani kama ulistahili kujichukulia sheria mikononi na kumtukana.

Kamtukana tena matusi ya nguoni kabisa, aombe radhi kama sivyo tutaandamana kwa kosa la jinai...
 
Back
Top Bottom