Makinda leo kafanya maamuzi sahihi

Makinda leo kafanya maamuzi sahihi

na mie nimemsifu kwa kukatisha waziri kuacha kusifia mtu na kuanza kushukru, alimwambia waziri aruke kwenye hoja ya msingi sio kuanza kmwaga sifa, haya ameyafanya asubuhi saa tatu na nusu wakati wakijibu swali la jenesta Mhagama
 
Na mimi nimemkubali, alipomuamuru waziri andae orodha ya makampuni yote yaliyopewa fedha na serikali wakati wa anguko la uchumi duniani, kutokana na swali la Mh. Mbowe
 
Asimame firm , very firm. Vinginevyo hawa watu watalala na yatalipuka mabomu kuliko hata yale ya G'Mboto. Nasema kweli kabsaaa.
 
Its time mh.spika ujenge heshima yako na bunge kwa jamii.stand firm and be independent.you will earn our respect.pia utawajengea wanawake wengne kukubalika zaidi kwa jamii na hvyo kuwapa cönfidence of vying for bigger positions in the society.i believe UNAWEZA!
kupatwa kwa jua si kiama, hajafanya lolote kuinufaisha jamii, asome ushahidi wa G. Lema juu ya pinda kulidanganya bunge, mchungaji msigwa kuhusu msafara wa pm kuwa na mapari 50, makelele ya ndioooooo ayachukie kama wananchi tunavyoyachukia wawe wakipiga kura ya siri. siwezi kumwamini hata akivua wigi.
 
nchi yangu tanzania.....viongozi wangu bado ni mwl.nyerere na sokoine......

Na wewe bana! Sasa wanakuongoza wakiwa kaburini? Hebu kubali kuwa hatuko nao ili tuungane kutafuta viongozi watakao kuwa bora kama wao au zaidi yao!
 
Hakuna cha kumsifu apo ametekeleza wajibu tuu!
Alafu mleta hoja usiwe unaleta hoja kana kwamba wote tulikuwa kwa tv on that moment apa sio sehemu ya kuleta taarifa nusu nusu tuu
Next time kuwa makini pls
 
Kusema kweli sioni cha kumsifia makinda, alichofanya ni kumuokoa waziri kwa kutumia kanuni kwamba akajipange.. angeacha aendelee kubanwa coz alileta porojo 🙂

naomba niulize, kati ya hawa viongozi wa juu nani ana afadhali JK, BILAL, PINDA na ANA MAKINDA?? kama vile wote wamejaa lawama au tatizo ni chama walichotoka?


I totally agree, Makinda kamuokoa waziri manake Mbowe alikuwa anaelekea kumngeleja. KJ ni vasco dagama na hajui nini kinaendelea nyumbani, Bilal Mkata utepe asiyejua nini kinaendele serikalini, Pinda mzee wa kulia and Makinda ni mlinzi wa kisiasa wa waliotajwa kwanza. Matatizo matupu!
 
kumbe bibi leo katoa neno! looh! bilashaka wanazima kauli ya lowassa kuhusu serikali kuchukua maamuzi magumu.
 
... akajibu naibu waziri wa uwekezaji kwa kusema kwamba hayo mambo ni siri hayafai ktoa hadhara.ndio Mbowe akasemama na kumbana vilivyo naibu huyo hadi spika alipomuamuro kwa kanuni naibu waziri kuandaa majibu kwani majibu aliyotoa hayatoshelizi

serikali ya JK!
 
nimekuwa nafuatilia bunge mara nyingi ila sijawahi kuona spika wa bunge akisimamia mambo muhimu amwagiza naibu waziri kwenda kutafuta majibu kwani alitoa majibu ambayo hatoshelezi!

Ni muda mrefu mawaziri au manaibu waziri wanajibu ovyo ovyo au kutoa irrelevant na spika anaridhia.
sasa ndugu yangu hapo uamuzi uliouona mgumu ni upi? Unajua hawezi kung'ata kila siku, kuna muda atapuliza jaribu kusoma mchezo
 
Kusema kweli sioni cha kumsifia makinda, alichofanya ni kumuokoa waziri kwa kutumia kanuni kwamba akajipange.. angeacha aendelee kubanwa coz alileta porojo 🙂

naomba niulize, kati ya hawa viongozi wa juu nani ana afadhali JK, BILAL, PINDA na ANA MAKINDA?? kama vile wote wamejaa lawama au tatizo ni chama walichotoka?

mmmh! hizo namba zote sumu, kwenye hiyo serikali yao ni afadhali john pombe ma'lock au nape a.k.a nepi mropokaji.
 
Angalau na wewe umeliona na kusifia sio kila siku kuiponda serikali na spika nk...


Unataka watu wasifie kisicho kuwepo ? Nchi haina umeme na uchumi umeanguka shilingi haina thamani bado ulitaka watu wasifie au mimi sijakuelewa vyema ?
 
Back
Top Bottom