Makinda leo kafanya maamuzi sahihi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makinda leo kafanya maamuzi sahihi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MARUMA J, Jul 20, 2011.

 1. M

  MARUMA J Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nafuatilia bunge mara nyingi ila sijawahi kuona spika wa bunge akisimamia mambo muhimu amwagiza naibu waziri kwenda kutafuta majibu kwani alitoa majibu ambayo hatoshelezi!

  Ni muda mrefu mawaziri au manaibu waziri wanajibu ovyo ovyo au kutoa irrelevant na spika anaridhia.
   
 2. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Angalau na wewe umeliona na kusifia sio kila siku kuiponda serikali na spika nk...
   
 3. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,094
  Likes Received: 506
  Trophy Points: 280
  Its time mh.spika ujenge heshima yako na bunge kwa jamii.stand firm and be independent.you will earn our respect.pia utawajengea wanawake wengne kukubalika zaidi kwa jamii na hvyo kuwapa cönfidence of vying for bigger positions in the society.i believe UNAWEZA!
   
 4. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hebu dokeza mkuu, swali gani na ni waziri gani huyo kaonja joto la jiwe la makinda?
   
 5. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  sasa mbona mnaweka nusu nusu? nani kauliza swali? na lilikuwa linasemaje? na huyo alishindwa kujibu ni wawizar gani? na alijibuje. tujuzeni tuliyombali na TV bana
   
 6. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Hebu tuwekee detail kidogo kilichojili mkuu
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hakuna details bro Makinda ni tatizo kubwa bungeni
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Watanzania ni watu wa ajabu sana yaani kwa issue moja tu tayari tunakuwa lobbed na kumwaga sifa kedekede na vipi akiharibu tena leo hii hii?mtaendelea kusifia ama mtaponda kama kawa,haya mambo ya siasa hayaitaji emotional appraisal tunatakiwa kujiridhisha ktk issues tofauti tofauti ndo tumwage sifa zetu if possible...tunaomba hyo ishu tuambiwe make huku Ngeleja kakata umeme
   
 9. M

  MARUMA J Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alianza Leticia Nyerere kuuliza ni makampuni mangapi na yapi yaliyonufaika na mabilioni yaleyotengwa na serikali kwa ajilii ya kurescue nchi katika kipindi cha mporomoko wa uchumi duniani. akajibu naibu waziri wa uwekezaji kwa kusema kwamba hayo mambo ni siri hayafai ktoa hadhara.ndio Mbowe akasemama na kumbana vilivyo naibu huyo hadi spika alipomuamuro kwa kanuni naibu waziri kuandaa majibu kwani majibu aliyotoa hayatoshelizi
   
 10. M

  MARUMA J Member

  #10
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alianza Leticia Nyerere kuuliza ni makampuni mangapi na yapi yaliyonufaika na mabilioni yaleyotengwa na serikali kwa ajilii ya kurescue nchi katika kipindi cha mporomoko wa uchumi duniani. akajibu naibu waziri wa uwekezaji kwa kusema kwamba hayo mambo ni siri hayafai ktoa hadhara.ndio Mbowe akasemama na kumbana vilivyo naibu huyo hadi spika alipomuamuro kwa kanuni naibu waziri kuandaa majibu kwani majibu aliyotoa hayatoshelizi ​
   
 11. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nchi yangu tanzania.....viongozi wangu bado ni mwl.nyerere na sokoine......
   
 12. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kusema kweli sioni cha kumsifia makinda, alichofanya ni kumuokoa waziri kwa kutumia kanuni kwamba akajipange.. angeacha aendelee kubanwa coz alileta porojo :)

  naomba niulize, kati ya hawa viongozi wa juu nani ana afadhali JK, BILAL, PINDA na ANA MAKINDA?? kama vile wote wamejaa lawama au tatizo ni chama walichotoka?
   
 13. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45

  sawa next time ujifunze kuleta taarifa siyo unatoa kama vile wote tunaangalia kabunge kenu. wengine tushachoka tunaangalia bunge la burundi na kenya kupitia kingamuzi
   
 14. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Amesoma alama za nyakati, CCM karibu inapelekwa kuzimu sasa akiendelea kuibeba siku inaanguka anaanguka nayo.
   
 15. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante, muwe mnaleta taarifa kamili wengine Jairo keshapitisha bahasha hatuna umeme.
   
 16. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unataka asifie hata utumbo eti kisa serikali?kizuri chajiuza,mkitetea wananchi tutawasifia tu!lakini mkiendelea na unafiki lazima mkosolewe milele bila kuchoka.
   
 17. k

  kajunju JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  ameanza kusoma harama za nyakati.naibu waziri wakti anamjibu nyerere, kaanza kupongeza na spika makinda kamkata nishai kwamba apa hatutaki kupongezana bali jibu swali.naibu alianza kujimng'unya
   
 18. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Swali zuri sana, tusubiri seleka lake ....
   
 19. sidimettb

  sidimettb Member

  #19
  Jul 20, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa waliopalilia uspika wake wameshaanza kugeukwa na kutoswa(e.g RUSTOM),anaona hana la kupoteza.Panga lamjia yy mda si mrefu lets wait and see
   
 20. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mnaosababisha serikali kupondwa ni nyinyi JF members mliotumwa kuleta hoja zisizo na mshiko nadhani kiongozi wenu ni FF. Na wewe anza kuandika kitu makini kinachofanywa na serikali utaungwa mkono. Lakini kama akili yako ime-engage gear ya NAPE(NEPI) utapuuzwa tu na kujibiwa vilivyo. USISAHA ACTION AND REACTION ARE EQUAL AND OPPOSITE
   
Loading...