mwanafyale
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 1,641
- 535
Jamii forum inaelekea kupoteza umaarufu wake kutokana na kuwa na wachangiaji 90% wenye uwezo finyu na hivyo kujikuta wakitumia hasira kuchangia mada au masuala yasiyohitaji kujadiliwa kwa kuwa kinachoelezwa ni facts ! inakuwaje mtu mwelevu kuhoji tofauti ya Anna na Anne ?