Singwa
Member
- May 26, 2011
- 65
- 25
Wanajukwaa
Kuna kila dalili za jimbo la Makete mkoani Njombe kuangukia mkononi mwa CHADEMA mwenye uchaguzi utakaofanyika baadaye mwaka huu. Tangu kuanzishwa kwake na Nguli wa majingambo Tuntemeke Sanga jimbo hili kimekuwa likiongozwa na CCM.
Mwaka huu jimbo hili laweza kuwa mikononi mwa CHADEMA baada ya kazi kubwa ya team ya kijana mwenye ushawishi aliyetangaza nia ya kugombea Ubunge, AHADI ASAJILE MTWEVE kufanya ziara ya ujenzi wa chama kijiji kwa kijiji na kujihakikishia ushindi wa kimya kimya.
Mtweve amekuwa gumzo kwenye radio za Makete hasa Kitulo fm na Green fm pamoja na majukwaa ya Whatsapp na Facebook. Pia wananchi wa Makete bila kujali tofauti za vyama wameonyesha kuvutiwa na siasa za kijana huyu baada kuonyesha ujasiri wa kuwatetea wanyonge.
Kila laheri CHADEMA Makete, kila laheri Ahadi Mtweve
😀😀😀😀😀😀