mchumia tumbo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 1,459
- 476
Updates za tuhuma za mchumia tumbo kwa bwana Ahadi Mtweve ni hivi...
Ni kweli bwana Mtweve amefanya kazi tigo Mtwara na Lindi kwa miaka tofauti. Alianza kazi Mtwara mwaka 2012 na kufanya kazi kama Customer Service Executive na baadaye akawa promoted kuwa Branch Supervisor na kuja Lindi mwaka 2014 mwanzoni baada ya tigo kufungua branch yao pale, Mwezi desember 2014 ali-resign kwa lengo la kwenda huko jimboni kwake Makete kujipanga na huo ubunge wake.
Source: Wafanyakazi wenzake Lindi na Mtwara na yeye mwenyewe.
Elezea tuhuma zilizokuondoa usiudanganye umma