Makerere ya Uganda yawakilisha EAC kwenye ubora wa vyuo vikuu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,495
2,000
Makerere ya Uganda imeingia ndani ya kumi bora Afrika kwenye orodha ya vyuo bora. Hongera zao jameni.
Chuo chetu cha Nairobi kimeshika namba 26 ambayo sio nzuri kweli, ila Bongo....dah, chuo chao cha UDSM kimetulia kwenye namba 48 na kuridhika, wapo wapo tu.

URAP - University Ranking by Academic Performance
 

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,728
1,225
Ha ha ha majirani zetu mna vituko....hapo UDSM ingekuwa kwenye top ten mngesema ipo Kenya.
 

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,481
2,000
Sisi TZ kwa number/quantity tumewapita wote, labda ilivyoondolewa Division 5 ndio tutapata wa kutujaribu!
 

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,370
2,000
Evidence gani wewe mjinga
Best universities in Africa 2016: top 15
Rank Institution Country
1 University of Cape Town South Africa
2 University of the Witwatersrand South Africa
3 Stellenbosch University South Africa
4 Makerere University Uganda
5 University of KwaZulu-Natal South Africa
6 University of Pretoria South Africa
7 University of Ghana Ghana
8 University of Nairobi Kenya
9 Suez Canal University Egypt
10 Alexandria University Egypt
11 Cairo University Egypt
12 University of Marrakech Cadi Ayyad Morocco
13 University of South Africa South Africa
14 University of Ibadan Nigeria
15 Mohammed V University of Rabat Morocco
 

Jay456watt

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
10,370
2,000
Sisi TZ kwa number/quantity tumewapita wote, labda ilivyoondolewa Division 5 ndio tutapata wa kutujaribu!
angalia apa mpumbavu
Best universities in Africa 2016: top 15
Rank Institution Country
1 University of Cape Town South Africa
2 University of the Witwatersrand South Africa
3 Stellenbosch University South Africa
4 Makerere University Uganda
5 University of KwaZulu-Natal South Africa
6 University of Pretoria South Africa
7 University of Ghana Ghana
8 University of Nairobi Kenya
9 Suez Canal University Egypt
10 Alexandria University Egypt
11 Cairo University Egypt
12 University of Marrakech Cadi Ayyad Morocco
13 University of South Africa South Africa
14 University of Ibadan Nigeria
15 Mohammed V University of Rabat Morocco
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom