Uwepo wa simba ndo umesababisha viewers wawe wengi,video zingine za Ay hazijawah kufikisha ivo.
Wanasema jirani yako hawezi kukuita mwanaume hata siku moja…… utakubalika kwa watu wa mbali tuIna maana Diamond kambeba huyu msanii
ingawa wabongo tunamuona huyu msanii ndo mkuubwa na kambeba Diamond...
hatujithamini ....
Diamond anaweza kuwa msanii mkubwa zaidi Africa kwa sasa
rekodi zake za you tube na instagram sioni mwanamuziki yeyote wa Africa akimkaribia
Kweli kabisa na ukicheki izo ngoma mbili zote zilihit sana naona aka hajamini kabisaAKA video yke ya all eyez on me biggest hit song in Africa ina views 1.4M hadi sasa lazima watu washangae. Cassper Nyovest Doc Shebeleza nayo ina 1M hadi sasa YouTube in years.
Mijitu mingine inakurupuka tu kama ushuzi!!! Bilashaka unatumia kichwa cha chini kufikiri, jaribu kutumia kichwa cha juu kabla ya kucomment labda utakuwa na adabu. Tafuta details kiroba we...!We Kunguni kweli, ni Diamond+AKA. Means ni wa wote, na sio feat. kama unavyosema.
Kwenye swala la kuview videos on YouTube bongo tuko vizuri sana.Kweli kabisa na ukicheki izo ngoma mbili zote zilihit sana naona aka hajamini kabisa
Sio kushinda wanaview sana. Data are vry cheap and internet pia iko speed. Why notInaonesha Watanzania wengi wanashinda sana kwenye Mitandao
Nyimbo nyingi sanaImevunja record ukishindanisha na ipi?
Wakenya wanajua kukamata fursaHivi Diamond ni mkenya au mim mgen hapa Tz maana nimeona huko inst wamempa uraia eti "Kenya Rapper"