#MakeMeSing yafanya vizuri Afrika Kusini

#MakeMeSing yafanya vizuri Afrika Kusini

Yaan wabongo huwa atuangalii whatz our artists are focus for!! Kaz yetu nikutoa judgements za kis*ng* tu! Huu n mda wakuwa support sio mda wakutolea vijembe!! God bless diamond + ally kibah!!#keep good music alive
 
Ta ta ta tara, ta ta ta tara! tararara, HAYA TAFSIRINI HAPO! MBONA ANAIMBA UTUMBO NA MNAM SHABIKIA?!
 
Amesample beat ya wimbo wa Timaya unaitwa Sanko.Video pia ya Lil wayne_-_Got money
 
Mnabishana mpk mnatoa povu wakati hamna details za kutosha!!!! Wimbo ule si wa Diamond, ni wa A.K.A feat Diamond. Mnapojadili anzieni hapo...
We Kunguni kweli, ni Diamond+AKA. Means ni wa wote, na sio feat. kama unavyosema.
 
Ile collabo kati ya diamond na A.k.a the super mega make me sing imefikisha viewers millioni moja na ushe youtube ndani ya siku kumi toka ilizinduliwa na kuweka rekodi mpya huku ikiziacha mbali nyingine zilizoachiwa kabla yake
Rekodi nyingine hii ndo imekuwa
nyimbo ya kwanza kwa a.k.a kufikisha millioni moja viwers youtube ndani ya cku chache na kufanya kuchekwa na mashabiki wa casper nyovest pale alipopost ndani ya I.g kuonyesha fura
 
Zigo Remix iligonga viewers million ndani ya wiki so labda unazungumzia Rekodi kwa huyo a.k.a
 
Hii ni rekodi kwa a.k.a kwa sababu nyimbo zake karibia zote na hata alizoshirikisha wengine haijawahi kufikia hapo ndani ya huo muda, lakini si kwa DIAMOND kwake si rekodi nzuri labda ndio iliyofanya vibaya kwa muda huo.
 
Nagharamia na akapela kwa ujumla wake 50,000 viewers
 
Ile collabo kati ya diamond na A.k.a the super mega make me sing imefikisha viewers millioni moja na ushe youtube ndani ya siku kumi toka ilizinduliwa na kuweka rekodi mpya huku ikiziacha mbali nyingine zilizoachiwa kabla yake
Rekodi nyingine hii ndo imekuwa
nyimbo ya kwanza kwa a.k.a kufikisha millioni moja viwers youtube ndani ya cku chache na kufanya kuchekwa na mashabiki wa casper nyovest pale alipopost ndani ya I.g kuonyesha fura
Sasa imevunja rekodi ipi? Na ya nani? Au hata rekodi ya Beyonce imevunjwa?
Elezea vizuri!
 
Ina maana Diamond kambeba huyu msanii
ingawa wabongo tunamuona huyu msanii ndo mkuubwa na kambeba Diamond...
hatujithamini ....
Diamond anaweza kuwa msanii mkubwa zaidi Africa kwa sasa
rekodi zake za you tube na instagram sioni mwanamuziki yeyote wa Africa akimkaribia
 
Imevunja record ukishindanisha na ipi?
 
Sasa imevunja rekodi ipi? Na ya nani? Au hata rekodi ya Beyonce imevunjwa?
Elezea vizuri!
Rekodi iliovuja ni nyimbo ya kwanza kupata viewers wengi ndani ya mda mfupi just 10 days ukishindanisha n nyimbo zingine za kibongo
Pili hii n rekodi kwa aka hajawahi toa nyimbo au kushirikshwa kwny nyimbo halafu ipate 1m viewers ndani ya siku 10 YouTube
 
Ina maana Diamond kambeba huyu msanii
ingawa wabongo tunamuona huyu msanii ndo mkuubwa na kambeba Diamond...
hatujithamini ....
Diamond anaweza kuwa msanii mkubwa zaidi Africa kwa sasa
rekodi zake za you tube na instagram sioni mwanamuziki yeyote wa Africa akimkaribia
Upo sawa kabisa hii hali inamfanya hadi Davido awe na chuki na diamond maana ndo amekuwa mshindani wake mkubwa
 
masahihisho: ni kwamba katika historia ya mziki wa SA haijwahi kutokea video kupata viewers 1M kwa siku kumi.
 
Attachments

  • 1456425563788.jpg
    1456425563788.jpg
    77.1 KB · Views: 23

Similar Discussions

Back
Top Bottom