#MakeMeSing yafanya vizuri Afrika Kusini

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
828
Goma la [HASHTAG]#MakeMeSing[/HASHTAG] limefanya vizuri miongoni mwa ngoma zinazovuma nchini South Africa.

AKA's new video fires up internet

Azizzar Mosupi | 25 February, 2016 00:46

TTP12TREND_AKA22-21-01-2016-16-01-05-724-.jpg

Make Me Sing is currently on rotation on both TV and radio all over South Africa and has been received well by fans. File photo
Image by: Tsheko Kabasia

The catchy Afro-beat tune and video was released on February 12, while the "SupaMega", as AKA is also known, was in Canada to perform at the Africa In The 6 event.

AKA, whose real name is Kiernan Forbes, 28, has also been nominated for the 2016 Metro FM Music Awards, which take place in Durban this weekend, for best hit single, best remix and best collaboration for his smash hit, Baddest, featuring Khuli Chana and Yanga.

Top hit-maker Diamond Platnumz, whose real name is Naseeb Abdul Juma, is no newbie to success either, having won 2015 MTV Europe awards in the international artist and best international act (Africa) categories.

Make Me Sing is currently on rotation on both TV and radio all over South Africa and has been received well by fans.

On Twitter @wambui_merly said: "Just repeat that [HASHTAG]#MakeMeSing[/HASHTAG] jam by Diamond and AKA (BAe), am already addicted to it."

Meanwhile, the song has taken a quirky twist in the [HASHTAG]#MakeMeSingDanceChallenge[/HASHTAG] currently taking place on social media.

Fans have been seen uploading 15-second videos in which they show off their dance moves to the song with the hashtag attached.

Raphael Benza, managing director and co-founder of AKA's management label, Vth Season, said: "The Diamond Platnumz and AKA combo are a force to be reckoned with for 2016."

Source: TimesLive SA
 
cja kusoma em kuja tena
Umesema wimbo wa kawaida, lakini tayari umeshashika namba moja. Niliomba utusaidie vigezo vya wimbo mkali, wimbo wa kawaida na wimbo mbaya ili nasi tufahamu tuweze kuwa rate watu.

Pili, je watu wa south siyo waelewa wa vitu vizuri mpaka goma linashika namba moja? Mkuu ni issue ya kutupatia elimu tu kama utakuwa haupo vizuri eneo hilo unaweza sema tu sijui. Ni hayo tu.
 
Toka Diamond aanze kutoa Nyimbo yani kuanzia ile Nenda Kamwambie(2009) mpaka hii ya make me sing(2016),
Nimesikiliza sana nyimbo zifuatazo:
1.Mbagala
2.Ukimwona
3.Nataka kulewa
4.Make me Sing

But for Sure: Video ya Make Me Sing ni kali sana,
Diamond amefunika ktk wimbo huu na ndiyo ameifanya niipende( Nadhani nimeshaisikiliza nyimbo zaidi ya mara 100 toka itoke)
Kwa hiyo tutarajie Kijana wenu Diamond from Tanzania atafunika mpaka Marekani Mwaka huu. Take it from me(16.02.2016 save the date)

Note: Sina Team, nasikiliza Mziki ninaoufeel.
 
Umesema wimbo wa kawaida, lakini tayari umeshashika namba moja. Niliomba utusaidie vigezo vya wimbo mkali, wimbo wa kawaida na wimbo mbaya ili nasi tufahamu tuweze kuwa rate watu.

Pili, je watu wa south siyo waelewa wa vitu vizuri mpaka goma linashika namba moja? Mkuu ni issue ya kutupatia elimu tu kama utakuwa haupo vizuri eneo hilo unaweza sema tu sijui. Ni hayo tu.
pengine unataka tu ubishi kua kwenye chat South Africa cio kigezo cha kusema ni wimbo mzuri kwn kuna nyimbo ngap uku bongo zipo kwenye chat shows lkn SA hazijulikan huo wimbo wa kawaida tu narudia me napenda nyimbo za diamond lkn huu cja uckiliza ata mara 2 , lbda video kajitahid ila audio nope
 
Taarifa njema ni kwamba hakuna wimbo wa Diamond uliosifiwa ulipotoka hapo hapo...from My number one,Nitampata wapi, Nana na nyinginezo, lakini matokeo yake tunayajua. Tuvute subira.
 
Kama wabongo tunamfuatilia Diamond Platnumz alisema Kwamba mziiki wetu utoboe South Africa,West Africa,America na Bars Uropa kama mnakumbukumbu.
But kwa MakeMeSing amefaulu.Kama alovyoiteka East Africa na Naija uko siongei wenyewe tunajionea
Je,America na Bara uropa atafanikiwa hapa?
Tukae mkao wa kusubiri .Ni nini Mr.Master Awarded and Always his Award at aka chorus anti a Watanzania.
#OngeaDeilee.
#VodacomKaziNiKwako.
#BaloziVodacom.
 
Mimi ni shabiki wa Diamond ila wimbo huu kwa upande wangu ni wa kawaida Sana, wimbo alioshiriki mwakahuu nikaupenda hadi sasa ni Zigo remix, hata Utanipenda ulikuwa wa kawaida
Mi huwa nachelea sana kulinganisha wimbo mmoja na mwingine hususani kwa mtu kama Diamond ambae he's no longer for a bongo flavor market. Kutokana na hilo huwa napenda kuupima wimbo kutokana na taste yake na mipaka yake... yaani kiwango cha ubongo flavor kilichomo ndani yake. Kila nikiusikiliza Make Me Sing as a stand alone track, sitakaa nikajifanya leo hii eti nimekuwa Nostradamus but naiona hii ngoma iki-hit sana nje ya mipaka yetu.
 
ndo kwanza safari imeanza nyie subirini tu muendlee kuona maajabu ya iyo ngoma!wanaafrika mashariki diamond alishatoa mapema "je utanipenda" kwa ajili ya most of swahili speakers around the e.afrika...hii hajalenga soko la e.africa bali kutoboa kule ambako yy anahisi bado hajawa na fanbase ya kutosha.
Halafu mbona dogo katambaa fresh tu na kangoma kamenoga!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom