#MakeMeSing yafanya vizuri Afrika Kusini

Sijausikia huo wimbo
Uckie alf ulete hapa mrejesho
 
pengine unataka tu ubishi kua kwenye chat South Africa cio kigezo cha kusema ni wimbo mzuri kwn kuna nyimbo ngap uku bongo zipo kwenye chat shows lkn SA hazijulikan huo wimbo wa kawaida tu narudia me napenda nyimbo za diamond lkn huu cja uckiliza ata mara 2 , lbda video kajitahid ila audio nope
Tatizo ndo lipo hapo sasa! Ikiwa uta-judge nyimbo kwa personal taste basi hakuna ngoma kali duniani coz' hata kama wimbo utakuwa mkali vp, lazima watakuwapo wa kuuona mbaya tu kv kila mtu ana taste yake!!! Tena kilimbamula amekuuliza swali zuri sana-- kigezo cha wimbo mzuri ni kipi!! Unless uwe ni mtalaamu wa muziki na utaje vigezo vya kitaalamu vinginevyo hilo swali haliwezi kujibika kama ambavyo umeshindwa kumjibu kv inawezekana kigezo chako wewe sio cha kwangu!

Sasa kutokana na tofauti hiyo ya msingi, ndio maana conclusion hufanywa kuwa kuangalia quantitative factors... je, ngoma ina view ngapi, imeshika chat ipi na ipi, trend yake ipo vp n.k!! Sasa usipotaka vigezo kama hivyo lakini tutumie kigezo cha taste ya mtu binafsi basi utakuwa unatoa conclusion isiyo sahihi! Assumption ni kwamba, wimbo ukishika chat mahali basi ni kwamba wengi wanauunga mkono vinginevyo usingeshika unless kama unaamini watu wanahonga!!
 
Unacho kiongea kina sense, swali ni kwamba unahitaji kusoma mziki ili ujue wimbo mzur au mbaya? hujui kua no of views kwenye social media inategemeana na u maarufu wa mtu na cio ubora? hio nyimbo ni average kaka unless you want me to argue with you
 
Wimbo mzur sana jaman mi kila saa nauskiliza nashndwa kuelewa watu wanaosema sio mzur
 
Ili upate Ushindi lazima pawepo na Mpinzani.Hakuna Ushindi pasi na Upinzani.
 
Nyimbo tamu sana tena sana kama alivyosema chige hapo juu kuwa kila mtu ana-test yake sasa kama tutapima uzuri/ubaya wa nyimbo kwa ladha ya mtu basi kila nyimbo itakuwa mbaya/nzuri,ndio maana kunavipimo vya muziki kama hivi vya kushika chart za muziki.
 
Unacho kiongea kina sense, swali ni kwamba unahitaji kusoma mziki ili ujue wimbo mzur au mbaya? hujui kua no of views kwenye social media inategemeana na u maarufu wa mtu na cio ubora? hio nyimbo ni average kaka unless you want me to argue with you
Kwamba unahitaji kusoma muziki ili uujue wimbo mzuri au mbaya nimeshatoa jibu tangia mwanzo nani atatoa maoni ya aina gani.

Kwamba view nyingi kunatokana na umaarufu wa mtu jibu ni simple tu... that's how the industry works popote pale duniani vinginevyo pia uta-argue kwamba mauzo makubwa ya album yanatokana na umaarufu, kuwepo kwenye chat kunatokana na umaarufu, kuwa na followers wengi kunatokana na umaarufu and so on! Lakini hivyo ndivyo dunia inavyoenda unless kama tunataka tuishi kwenye fantasy world. Isitoshe, hili la umaarufu nalo halitokei by chance or by means of good luck. Unafanya kazi nzuri, unatengeneza fans base na kinachofuata hapo ni more views, more sales, more endorsements, more nominations, more this, more that....!!!

Labda nitaje ile ninayoona ni tofauti ya msingi kati yangu na yako kitu ambacho itakuwa ni sababu tosha ya kutofikia muafaka kati yetu! ALWAYS, mimi ni mtu wa statistics & figures plus reference.
 
Statistics za twaweza
 
Haka kawimbo ukisikiliza full genyee

No stress or drama
Jah bless, asante sana
Give thanks to God for my queen love
Dar Es Salaam put your drink up
Ta ta ta tara (tarara)
Ta ta ta tarara (tata rara)
Ta ta ta tara, oh yeah
 
Unacho kiongea kina sense, swali ni kwamba unahitaji kusoma mziki ili ujue wimbo mzur au mbaya? hujui kua no of views kwenye social media inategemeana na u maarufu wa mtu na cio ubora? hio nyimbo ni average kaka unless you want me to argue with you
Ishu ni kwamba ni average kwa vigezo gani. Yaani vigezo ni nini?
 
wimbo hovyo kabisa hakuna wimba mbaya kama huu, kwa stail hii hawezi kumfikia K 4 REAL
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom