#MakeMeSing yafanya vizuri Afrika Kusini

#MakeMeSing yafanya vizuri Afrika Kusini

Ningeshauri YOUTUBE waweke kitufe cha LIKE na DISLIKE.
Ktk hizo views, kuna wengine walienda angalia baada ya video kupata promo sana, ila wakaishia kuwa dissappointed, binafsi nimeipenda video ila audio ya kawaida sana. Ila Mond ni brand siku hizi, hata akitoa audio mbovu itapendwa tu.
Umeanza lini kuangalia vitu utube? Maana kuna vitufe vya thumb up na thumb down.
Unaongea vitu hata huvijui masikini
 
Umeanza lini kuangalia vitu utube? Maana kuna vitufe vya thumb up na thumb down.
Unaongea vitu hata huvijui masikini
Nimeanza kuangalia YOUTUBE 2008, kwa kusoma materials kwa kutumia video za kozi niliyosoma kupitia mtandaoni.
Kwa hiyo hiyo 1m views zote ni THUMP UP? au zinajumuisha lovers na haters wa huo wimbo? Ndio ppint yangu ilipo.
Ukinijuza hapa nitaridhika.
 
Ridhika tu brother usiwe mbishi
 
Nimeanza kuangalia YOUTUBE 2008, kwa kusoma materials kwa kutumia video za kozi niliyosoma kupitia mtandaoni.
Kwa hiyo hiyo 1m views zote ni THUMP UP? au zinajumuisha lovers na haters wa huo wimbo? Ndio ppint yangu ilipo.
Ukinijuza hapa nitaridhika.
Okay, kwakua nimejua kwamba hujui ngoja nikujuze.

Hiyo 1m views ni idadi ya watu walioangalia. Kwa chini au kulia utaona alama ya thumb up inayoonyesha idadi ya watu waliopenda hiyo video.... kisha kuna alama ya thumb down inayoonyesha idadi ya watu ambao hawajaipenda video. Hizi idadi hazihusiani na alama ya viewers. Mtu anaweza akaangalia na asiipe like au dislike akaacha tu.

Ni maajabu eti uanze kutumia utube 2008 usijue kama kuna alama ya like na dislike.
Hongera kwa kujifunza leo
 
Nashukuru kwa somo, ila haujanijibu swali langu.
HIYO 1M VIEWS UNATAMBUA VIPI KWAMBA ZOTE NI 'LIKES'? Au hapa issue ni kuwa na views hata kama laki sita ni DISLIKES, haijalishi, ishu ni 1M?
Maana kwa jinsi uzi ulivoletwa na watu kama wewe mmetafsiri hizo views kwamba zote ni LIKES ingawa umekiri kuwa mtu ana option ya au ku, ila hawajafanya hivyo kutokana labda na kuona wanapoyeza muda.
Nashukuru kwa somo MY PROTEGE.
 
Nashukuru kwa somo, ila haujanijibu swali langu.
HIYO 1M VIEWS UNATAMBUA VIPI KWAMBA ZOTE NI 'LIKES'? Au hapa issue ni kuwa na views hata kama lako sita ni DISLIKES, haijalishi, ishu ni 1M?
Maana kwa jinsi uzi ulivoletwa na watu kama wewe mmetafsiri hizo views kwamba zote ni LIKES ingawa umekiri kuwa mtu ana option ya au ku, ila hawajafanya hivyo kutokana labda na kuona wanapoyeza muda.
Nashukuru kwa somo MY PROTEGE.
Anko, sijasema 1m views ni likes. VIEWS...VIEWS...VIEWS

Ukitaka likes angalia thumbs up khaaa
 
Ni mwizi.Beat ya number one,alikuwa ashirikishwe na Dayna nyange,yeye akamuhonga sheddy clever akapewa beat.Wimbo wa nana,amesample wimbo wa Praiz unaitwa Mercy.Huu tena,amesample wimbo wa Timaya unaitwa sanko.Wimbo wa utanipenda,amechukua idea ya je,utanipenda wa Alice,locked away pia wa R-City.
 
Nimeanza kuangalia YOUTUBE 2008, kwa kusoma materials kwa kutumia video za kozi niliyosoma kupitia mtandaoni.
Kwa hiyo hiyo 1m views zote ni THUMP UP? au zinajumuisha lovers na haters wa huo wimbo? Ndio ppint yangu ilipo.
Ukinijuza hapa nitaridhika.
Mkuu views ni tofauti na thumb up or thumb down. Views ina idadi yake, thumb up ina idadi yake na thumb down ina idadi yake pia.
 
pengine unataka tu ubishi kua kwenye chat South Africa cio kigezo cha kusema ni wimbo mzuri kwn kuna nyimbo ngap uku bongo zipo kwenye chat shows lkn SA hazijulikan huo wimbo wa kawaida tu narudia me napenda nyimbo za diamond lkn huu cja uckiliza ata mara 2 , lbda video kajitahid ila audio nope
mkuu jaribu kuusikiliza kwa speaker za HI-FI.. teh
 
AKA's new video fires up internet

Azizzar Mosupi | 25 February, 2016 00:46

TTP12TREND_AKA22-21-01-2016-16-01-05-724-.jpg

Make Me Sing is currently on rotation on both TV and radio all over South Africa and has been received well by fans. File photo
Image by: Tsheko Kabasia

The catchy Afro-beat tune and video was released on February 12, while the "SupaMega", as AKA is also known, was in Canada to perform at the Africa In The 6 event.

AKA, whose real name is Kiernan Forbes, 28, has also been nominated for the 2016 Metro FM Music Awards, which take place in Durban this weekend, for best hit single, best remix and best collaboration for his smash hit, Baddest, featuring Khuli Chana and Yanga.

Top hit-maker Diamond Platnumz, whose real name is Naseeb Abdul Juma, is no newbie to success either, having won 2015 MTV Europe awards in the international artist and best international act (Africa) categories.

Make Me Sing is currently on rotation on both TV and radio all over South Africa and has been received well by fans.

On Twitter @wambui_merly said: "Just repeat that [HASHTAG]#MakeMeSing[/HASHTAG] jam by Diamond and AKA (BAe), am already addicted to it."

Meanwhile, the song has taken a quirky twist in the [HASHTAG]#MakeMeSingDanceChallenge[/HASHTAG] currently taking place on social media.

Fans have been seen uploading 15-second videos in which they show off their dance moves to the song with the hashtag attached.

Raphael Benza, managing director and co-founder of AKA's management label, Vth Season, said: "The Diamond Platnumz and AKA combo are a force to be reckoned with for 2016."

Source: TimesLive SA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom