#MakeMeSing yafanya vizuri Afrika Kusini

#MakeMeSing yafanya vizuri Afrika Kusini

Siku zote watz hatupendi cha kwetu.yani mbongo ana uwezo wa kukufungia safari kwenda kwa waganga wa kienyeji ili akuangamize kisa shati ulilovaa.roho za korosho zimetujaa wabongo.Diamond anahangaika ili aweze kufikia malengo yake nyie hangaikeni kumponda mwenzenu anasonga mbele
 
Ila wimbo sio mkali kivile, sema palipo Diamond wimbo wowote unaonekana mzuri
Hata JAY Z licha yakua all time century rapper/hip hop iconic, sio kila ngoma akitoa ni HIT song.... ana nyimbo kibao ambazo sio hit songs.. lakini still yuko kwenye pick... same applies kwa DIAMOND, kaisha fika kwenye Pick so expect anything from his songs/videos... you feel me!!!
 
Mnabishana mpk mnatoa povu wakati hamna details za kutosha!!!! Wimbo ule si wa Diamond, ni wa A.K.A feat Diamond. Mnapojadili anzieni hapo...
 
Mnabishana mpk mnatoa povu wakati hamna details za kutosha!!!! Wimbo ule si wa Diamond, ni wa A.K.A feat Diamond. Mnapojadili anzieni hapo...

Mwenyekiti wenu wa kijiji aliwapa info ndivyo sivyo.. Sikh nyingine fuata info kwenye reliable sources ikiwemo pages zake Diamond kwenye social media...
 
Kwamba unahitaji kusoma muziki ili uujue wimbo mzuri au mbaya nimeshatoa jibu tangia mwanzo nani atatoa maoni ya aina gani.

Kwamba view nyingi kunatokana na umaarufu wa mtu jibu ni simple tu... that's how the industry works popote pale duniani vinginevyo pia uta-argue kwamba mauzo makubwa ya album yanatokana na umaarufu, kuwepo kwenye chat kunatokana na umaarufu, kuwa na followers wengi kunatokana na umaarufu and so on! Lakini hivyo ndivyo dunia inavyoenda unless kama tunataka tuishi kwenye fantasy world. Isitoshe, hili la umaarufu nalo halitokei by chance or by means of good luck. Unafanya kazi nzuri, unatengeneza fans base na kinachofuata hapo ni more views, more sales, more endorsements, more nominations, more this, more that....!!!

Labda nitaje ile ninayoona ni tofauti ya msingi kati yangu na yako kitu ambacho itakuwa ni sababu tosha ya kutofikia muafaka kati yetu! ALWAYS, mimi ni mtu wa statistics & figures plus reference.

Umenena Mkuu...!!

Muziki sio kama ukimwi au ujauzito unapimwa tu na kutoa jibu positive au negative, no. Ni complicated na huwezi kufuata kila mmoja anasema vipi ndio maana huwezi kukuta video yeyote YouTube yenye likes nyingi bila dislikes, hata uweke Bible, Quran, pesa, gari, warembo, n.k LAZIMA KUWE NA MAONI CHANYA NA HASI

Na siku zote bidhaa ipo kwaajili ya wanunuzi, ndio maana impact, success, buzz, intangibles vinavyotokana na wimbo ndio kipimo sahihi na wadau wakubwa wa burudani hata kwenye nominations na maamuzi ya utoaji tuzo hawakurupuki lazima wakae hapo..
 
Mnabishana mpk mnatoa povu wakati hamna details za kutosha!!!! Wimbo ule si wa Diamond, ni wa A.K.A feat Diamond. Mnapojadili anzieni hapo...
Kiroja cha mwaka hiki... napata shaka hata ikiwa wimbo wenyewe tunaouzungumzia hapa unaufahamu!!! Inawezekana pia hata hiyo A.K.A vidole viliteleza na ulikusudia kuandika AY!
 
Wengi wanaponda idea ya video yake
I know wanasema ame-copy idea! In short, huwezi ku-copy kitu ambacho hakiwezi kuwa copyrighted. Duniani kote idea si mali ya mtu na wala haina copyright! Kwa waandishi wa filamu wanafahamu hili na wanafundishwa hili kwamba, one of the source ya kupata idea ni kwa kuangalia filamu/series zingine! Unaweza kuichukua scene moja ya filamu, ukai-twist kisha ukaandika script kwa plotting nyingine kabisa! Hiyo haiitwi ku-copy na wala sio kosa. Na ndio maana, video zinazohusu kurushwa mikwanja zipo kibao tu na bado zitaendelea kutengenezwa!

Aidha, kuna wengine wanadai video haiendani na mahudhui! Wenye madai haya ni wale wanaodhani ni LAZIMA mistari ndiyo inapaswa kugeuzwa kuwa story line... kwamba, msanii akisema "nilalapo nakuota...!" basi anatarajia aone video Diamond akiwa amelala na kuota! Kwenye music video, director anaweza kuchukua idea mzima ya mistari na kuwa story line au anaweza tu kusikiliza wimbo kwa mapana yake, mara nyingi awezavyo kisha aka-develop theme na story line ikafuata hii developed theme na ikawa tofauti na lyrics! Idea ya kuzi-tune lyrics na kuwa story line works better kwa wimbo ambao, hata ukisimama peke yake, unaiona story ndani yake! Mfano mzuri, UTANIPENDA! Utanipenda the way ilivyo tu ni stori kutokana na lyrics zake!
 
Vipi video ya sorry by j.b na wimbo vimeendana
That was a dance video teena those girls ni wanachuo nadhaniii walicreate ile video JB akaona its good akaifanya official btw wimbo ni dance song...Either way idea ya D nzuri but i think walikua na idea ya video kwanza kabla yakutunga wimbo
 
Taarifa njema ni kwamba hakuna wimbo wa Diamond uliosifiwa ulipotoka hapo hapo...from My number one,Nitampata wapi, Nana na nyinginezo, lakini matokeo yake tunayajua. Tuvute subira.
huu ndio ukweli big up mkuu
 
SAFI SANA kijana DIAMOND endelea hivyo hivyo
 
Haijawah tokea vdeo kama ile tz kabisa kaz kwenu wafata nyayo za jamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom