stanley kimissa
Member
- Jan 27, 2016
- 9
- 7
So?Amesample beat ya wimbo wa Timaya unaitwa Sanko.Video pia ya Lil wayne_-_Got money
Goma la [HASHTAG]#MakeMeSing[/HASHTAG] limeshika nafasi ya kwanza katika Top 10 za ngoma zinazovuma nchini South Africa.
We Kunguni kweli, ni Diamond+AKA. Means ni wa wote, na sio feat. kama unavyosema.Mnabishana mpk mnatoa povu wakati hamna details za kutosha!!!! Wimbo ule si wa Diamond, ni wa A.K.A feat Diamond. Mnapojadili anzieni hapo...
Hahaha nimecheka vyakutoshaNahisi "mapera"umeuzidi huu wimbo kwa ubaya..!au kuna tatizo huko?!
Sasa imevunja rekodi ipi? Na ya nani? Au hata rekodi ya Beyonce imevunjwa?Ile collabo kati ya diamond na A.k.a the super mega make me sing imefikisha viewers millioni moja na ushe youtube ndani ya siku kumi toka ilizinduliwa na kuweka rekodi mpya huku ikiziacha mbali nyingine zilizoachiwa kabla yake
Rekodi nyingine hii ndo imekuwa
nyimbo ya kwanza kwa a.k.a kufikisha millioni moja viwers youtube ndani ya cku chache na kufanya kuchekwa na mashabiki wa casper nyovest pale alipopost ndani ya I.g kuonyesha fura
LoyolaImevunja record ukishindanisha na ipi?
Rekodi iliovuja ni nyimbo ya kwanza kupata viewers wengi ndani ya mda mfupi just 10 days ukishindanisha n nyimbo zingine za kibongoSasa imevunja rekodi ipi? Na ya nani? Au hata rekodi ya Beyonce imevunjwa?
Elezea vizuri!
Upo sawa kabisa hii hali inamfanya hadi Davido awe na chuki na diamond maana ndo amekuwa mshindani wake mkubwaIna maana Diamond kambeba huyu msanii
ingawa wabongo tunamuona huyu msanii ndo mkuubwa na kambeba Diamond...
hatujithamini ....
Diamond anaweza kuwa msanii mkubwa zaidi Africa kwa sasa
rekodi zake za you tube na instagram sioni mwanamuziki yeyote wa Africa akimkaribia