The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,252
- 2,524
Huyu mganga aliyetumika kuturoga waTZ this round ananguvu sana aisee .tumesahau kabisaaaTumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.
Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
Vp wale babu zako waliopelekwa America?????Hilo nalo unataka kupinga kwamba hao mnao wahusudu walikuja kulangua watu huku na kuwafanya watumwa?
Waamerica ndio walikuja kuwachukua huku? Au ni hao hao vijana wa mwamedi?
Kuna hoja au Kuna upumbavu?! Lini watu walisema kuwa Wanaopewa Bandari ni Waislam? Acha ujing
Aaah, bwana wale walikuwa watumwa wa ndugu zake mungu wetu.
Hahaha!!!Ukht nmekupata vyemaAaah, bwana wale walikuwa watumwa wa ndugu zake mungu wetu.
Hawajakuwa watumwa wa wajinga wajinga a Kiarabu.
Saa hizi wale wangerkuwa wavaa kobazi. Sasa wanavaa cheni na hereni wakafundishwa na kukata viuno kuliko wacheza kigodoro.
Si unaona TEC, midume vya mbegu, yenye akili, waraka mmoja tu, bandari imetemwa na mwarabu.
Hahaha!!!Ukht nmekupata vyema,inaitwa kinyumenyume styleAaah, bwana wale walikuwa watumwa wa ndugu zake mungu wetu.
Hawajakuwa watumwa wa wajinga wajinga a Kiarabu.
Saa hizi wale wangerkuwa wavaa kobazi. Sasa wanavaa cheni na hereni wakafundishwa na kukata viuno kuliko wacheza kigodoro.
Si unaona TEC, midume vya mbegu, yenye akili, waraka mmoja tu, bandari imetemwa na mwarabu.
Hahaha!!!!!nmekusoma btn the lines yaah UkhtyAaah, bwana wale walikuwa watumwa wa ndugu zake mungu wetu.
Hawajakuwa watumwa wa wajinga wajinga a Kiarabu.
Saa hizi wale wangerkuwa wavaa kobazi. Sasa wanavaa cheni na hereni wakafundishwa na kukata viuno kuliko wacheza kigodoro.
Si unaona TEC, midume vya mbegu, yenye akili, waraka mmoja tu, bandari imetemwa na mwarabu.
Lete evidence we nguchiroWaamerica ndio walikuja kuwachukua huku? Au ni hao hao vijana wa mwamedi?
Ni hatari kumpa mwarabu bandari si muislamu. Hilo limekwisha.Hilo mbona liko wazi kabisa? Ulikuwa huelewi?
Bandari asipewe Muislam kuiendesha.
Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari.
Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa waarabu ? Hiki Chama ni hatari sana waliwakusanya mapadre na mashee wasiojielewa na kupanga uasi wa kuhakikisha Raisi samia au serikali ya CCM inapinduliwa au kuangushwa kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
ilivyo ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja,leo hii wachochezi wote wamechawanyika baada ya mbinu zao za kuiangusha serikali kupigwa na chini,mkichaa kakimbilia Ulaya,Balaa kafungua chama chake na kengeza yupo yupo tu.
CCM oyee.
Walikuja nani kuwachukuwa kwenu huko, wewe kwenu wapi?Waamerica ndio walikuja kuwachukua huku? Au ni hao hao vijana wa mwamedi?
Wewe ni mpumbavu kama Wapumbavu wengine wa CCM tu
Hakuna kitu hapo,kosa hapo,itakuwa amevunja sheria tu na hawakilishi Uislamu ,sijui unafahamu maana ya dhambi ,wanaokula nguruwe hawaiwakilishi dini yao .kwani ndani ya dini yao pia nguluwe ni halamu.Binti wa kiislamu anakunywa bia ndani ya hijab.
Wewe hodari sana, alikuingiza ndani ya hijab umuone? Yanjidqibtu hayo Maislamu, malevi tu.Binti wa kiislamu anakunywa bia ndani ya hijab.
Mada yako ni uharo mtupu.ilihitajika hiki Chama kufutwa mara moja
CCM inaiogopa sana CHADEMA.Chama kifutwe??!! CCM mbona italala usingiz wa pono.
Kwamba hujui vijana wa mwamedi walikuwa na gulio la watumwa wewe duduna?
KizimkaziWalikuja nani kuwachukuwa kwenu huko, wewe kwenu wapi?