Make Tanzania Great Again (MATAGA)

Make Tanzania Great Again (MATAGA)

Trump2

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,553
Reaction score
2,610
IMG-20180523-WA0106.jpg
 
Badala yake tz inakua ya mwisho tunaanza kupitwa na vitaifa vidogo, tuna kila kitu lakini tumekosa ubunifu! b:IMG-20180523-WA0044.jpg
 
Watanzania wanatembea mwendo wa Kunyakua nyakua, wakiogopa kwenda mbio watanyakuliwa

- Traffic wananyakua
-TRA wananyakua

Hakuna kuuza Mahindi Kenya

Shillingi imedorora thamani

Watalii wamepungua hadi 3% per Year (2016/2017)

Watalii walikuwa growth rate ni 15% per year (2012 -2015)
 
Tunatimiza miaka 57 toka tupate uhuru ila maadui wakuu UJINGA,UMASIKINI na MARADHI hatujaweza kuwaondoa alafu wewe unakuja na porojo za kipumbavu,nani amekuroga?
 
Tunatimiza miaka 57 toka tupate uhuru ila maadui wakuu UJINGA,UMASIKINI na MARADHI hatujaweza kuwaondoa alafu wewe unakuja na porojo za kipumbavu,nani amekuroga?
Kama wajinga wapya na masikini wanazaliwa je?
 
Watanzania wanatembea mwendo wa Kunyakua nyakua, wakiogopa kwenda mbio watanyakuliwa

- Traffic wananyakua
-TRA wananyakua

Hakuna kuuza Mahindi Kenya

Shillingi imedorora thamani

Watalii wamepungua hadi 3% per Year (2016/2017)

Watalii walikuwa growth rate ni 15% per year (2012 -2015)
Mradi wa mabasi ya mwendo kasi wameshindwa kabisaa kuendesha
 
Kuna wakati Tanzania imeshawahi kuwa Taifa lenye nguvu kubwa kiuchumi na kiusalama ikatikiswa na sasa tunataka kuirudisha kwenye "Greatness" yake? Tuache kudanganya wananchi kwa kutumia slogan za akina "TRUMP" Tanzania, haijawahi kuwa ni taifa kubwa na linalolijitegemea.

Ninadhani kuna tatizo mahali fulani.

Tunawaza kidogo sana, Tunafikiri kidogo sana na Tunatenda kwa uvivu sana!

Nchi inaungua tunapaswa kuinusuru.
 
Nchi ilikuwa na viwanda!
Nchi ilikuwa inasaidia ukombozi wa nchi nyingine
Nchi iliwahi kuingia mashindano ya afrika
Nchi ilikuwa na ndege zake

Kwa ufupi nchi ilifikia mahala pazuri sana katika kujitegemea lakini ikarudi nyuma.
 
Back
Top Bottom