kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 8,992
- 17,892
Make Kilimanjaro great again serikali za majimbo ziruhusiwe tunacheleweshwa kiuchumi
Hebu imagine kwa wale wa Kilimanjaro tumepambana hadi tumefika mbali bila utegemezi wa serikali na tupo hapa
Huo uchumi wa kati wanaozungumzia tulifika miaka ya 70 huku
Wao wanajenga shule za kata, sijui elimu bure sijui madawati sisi hizo shule zipo miaka 100 sasa yaani ccm bwana
Ni wakati wa sisi kufika uchumi wa level za dubai au majimbo ya marekani huko au Qatar
Naunga mkono uwepo wa serikali za majimbo like Kenya au marekani, sasa uchague upande wa one nation utaifa ambao ni kubaki maskini au kuchagua mfumo wa majimbo ambao unaleta maendeleo ya haraka
Ukomunist umeiharibu nchi yetu sana, ccm imeifanya nchi hii kubaki maskini sana
Kwanza Kilimanjaro na Arusha kabla ya ukoloni yalikua majimbo huru na yenye viongozi,mamlaka na serikali yenye nguvu, tungekua level za Marekani sahivi ni hizi mambo ya utaifa, utanganyika viliturudishwa nyuma japo tupo mbali kwangu naona bado tunahitaji tupambane hadi kuifikia dubai sisi hatuna haja wala hatuhitaji sapoti ya govt maana hawajawahi kutusaidia chochote zaidi ya kuturudisha nyuma tu, na kutubagua
Wakati mwingine nawazaga tugawane tu kila mtu na maisha yake maana mara huyu ajengwe liuwanja kijijini kwake,mara afanye vile huku watu hawana maji, mara wengine wakumbwe na matetemeko rambirambi zichukuliwe wanyimwe zikanunulie sijui mandege mabovu, haya halmashauri pesa zote zinaenda serikali kuu sahv halmashauri hazina pesa halaf hizo pesa hazirudi tena kwa halmashauri zinajenga midaraja tu,mindege na kujenga uwanja kijijini kwake huku watu hawana maji
Ukiwaza haya mambo utaona umuhimu wa serikali za majimbo kuliko ccm