Make Kilimanjaro great again Serikali za majimbo ziruhusiwe tunacheleweshwa

Nyie mlikuwa wapi kusoma?
Si mlikuwa mnachunga mbuz?
Na sasahv Kilimanjaro inavyofanya vizur kielimu nk Ni kina mramba?
Kilimanjaro inafanya vizuri kielimu matokeo ya kidato cha ngapi na mwaka gani?
Una data au umekariri tu?
 
Make Kilimanjaro great again serikali za majimbo ziruhusiwe tunacheleweshwa kiuchumi

Hebu imagine kwa wale wa Kilimanjaro tumepambana hadi tumefika mbali bila utegemezi wa serikali na tupo hapa

Huo uchumi wa kati wanaozungumzia tulifika miaka ya 70 huku

Wao wanajenga shule za kata, sijui elimu bure sijui madawati sisi hizo shule zipo miaka 100 sasa yaani ccm bwana

Ni wakati wa sisi kufika uchumi wa level za dubai au majimbo ya marekani huko au Qatar

Naunga mkono uwepo wa serikali za majimbo like Kenya au marekani, sasa uchague upande wa one nation utaifa ambao ni kubaki maskini au kuchagua mfumo wa majimbo ambao unaleta maendeleo ya haraka

Ukomunist umeiharibu nchi yetu sana, ccm imeifanya nchi hii kubaki maskini sana

Kwanza Kilimanjaro na Arusha kabla ya ukoloni yalikua majimbo huru na yenye viongozi,mamlaka na serikali yenye nguvu, tungekua level za Marekani sahivi ni hizi mambo ya utaifa, utanganyika viliturudishwa nyuma japo tupo mbali kwangu naona bado tunahitaji tupambane hadi kuifikia dubai sisi hatuna haja wala hatuhitaji sapoti ya govt maana hawajawahi kutusaidia chochote zaidi ya kuturudisha nyuma tu, na kutubagua

Wakati mwingine nawazaga tugawane tu kila mtu na maisha yake maana mara huyu ajengwe liuwanja kijijini kwake,mara afanye vile huku watu hawana maji, mara wengine wakumbwe na matetemeko rambirambi zichukuliwe wanyimwe zikanunulie sijui mandege mabovu, haya halmashauri pesa zote zinaenda serikali kuu sahv halmashauri hazina pesa halaf hizo pesa hazirudi tena kwa halmashauri zinajenga midaraja tu,mindege na kujenga uwanja kijijini kwake huku watu hawana maji

Ukiwaza haya mambo utaona umuhimu wa serikali za majimbo kuliko ccm

“MAJIMBO/Countie!”!!!! That is utter nonsense! Majimbo/county government is the foundation of TRIBALISM! Please learn from Kenya where there are 47 counties(majimbo) for the circa 47 tribes!!!!Next stage is to seek for secession(remember in 2017 the Nyanza counties were intending to secede from the rest of Kenya followed by Wajir and Mandera!! Tafadhali achana na fikra potofu kama hizo.
 
Yaan unaleta mada then una tupa sisi kazi ya kukutafutia reference hoja dhaifu kama izi JF wangekuwa wana zifuta tu
Unatumia Nokia tochi au? Haya soma hiyooo
tapatalk_1609090029340.jpeg
 
Kilimanjaro inafanya vizuri kielimu matokeo ya kidato cha ngapi na mwaka gani?
Una data au umekariri tu?
Kumbe upo shimoni? Kilimanjaro matokeo yote kila mwaka STD 4,std 7,form two,form four na six ipo kumi Bora,mathalami,kila mwaka matokeo ya form four inakuwa ya Kwanza kitaifa
1862927154.jpeg
9790292.jpeg
 
Marekani majimbo yapo au hayapo?waafrika ngozi nyeusi sijui katuloga nani
Muulize wakati Kenya wanapasuana kulikua na majimbo? Kupigana kupo tu bila hata majimbo...lakini kama tumeweza kuvumiliana toka 1961 TZ hatuez pigana tena
 
Unatumia Nokia tochi au? Haya soma hiyoooView attachment 1660840
Ndugu umaskini ni tofauti na ninacho muomba mtoa UZI alete , alete taarifa ya mapato ya mkoa wa kilimanjaro achana na maswala ya kiwango cha umaskin ..
Ww kwa icho ulicho bandika jiulize unahisi mapato ya mkoa wa mwanza ni sawa na Njombe ? Au mkoa wa Geita sawa na Songwe ? Ukipata jibu kishanuondoe takataka uliyo attach hapo ...
 
Nonsense thread ever huko kili mnayo ardhi? wewe unazunguka tu mbuyu kuwa muwazi
Israel inayo ardhi? Lakini imejikamilisha kila kitu. Kwani ardhi ndo sababu? Mnakimbilia ukabila tu. Huko marekani vipi? Kwamba hayo majimbo hakuna wawekezaji wengine wa mataifa mengine na makabila mengine? Hawalipi kodi? Ama wanaendesha shughuli zao bure?
 
Ndugu umaskini ni tofauti na ninacho muomba mtoa UZI alete , alete taarifa ya mapato ya mkoa wa kilimanjaro achana na maswala ya kiwango cha umaskin ..
Ww kwa icho ulicho bandika jiulize unahisi mapato ya mkoa wa mwanza ni sawa na Njombe ? Au mkoa wa Geita sawa na Songwe ? Ukipata jibu kishanuondoe takataka uliyo attach hapo ...
Mbona umewekewa huko juu? Unataka utafuniwe kila kitu wewe ni mtoto? Hizi hasira utakufa siko si zako
 
Mbona umewekewa huko juu? Unataka utafuniwe kila kitu wewe ni mtoto? Hizi hasira utakufa siko si zako
Unashabikia kitu uaicho kielewa ndugu taarifa ya kimapato ya kimkoa tofauti na kiwango cha umaskini
Ni vizuri kukiwepo iyo taarifa ya kimapato ya kimkoa itakuwa ni vizuri kufanya maamuzi
 
Back
Top Bottom