Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi?
Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna.
Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi??
Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna....Ahsanteni,Asbh Njema.

Neno kama hilo enzi zangu za skuli tulikuwa tukitumia sana mimi na wenzangu pale mtu anapozungumza ujinga wa wazi, tulikuwa tukisema " nicheke kwanza " huku mtu akicheka kwa dharau.
Kuna kipindi tunaulizana malengo ya mtu baadae jamaa wangu alisema tena akiwa siriaz kuwa ana ndoto za kuwa rais wa Russia sasa hapo unaachaje kuanza kucheka 😂😂 😆 kabla ya kumjibu mtu mkuryra mweusi fii anaota kuiongoza Russia baadae?
Hili neno kama ntakuwa nimekosea kuliandika pia nipo tayari kurekebishwa naomba kufahamu maana yake halisi na linatumika mazingira yapi??
Nimejaribu kugoogle sijapata na kamusi pia hakuna....Ahsanteni,Asbh Njema.
Maana yake hapo kwanza nicheke, haya maneno yamesemwa kwenye simulizi ya watu wawili wakiwa kijiweni, anayesimulia ametoka kwenye tukio la kupigwa chenga manjagu.
Nyie mnahangaika na hilo neno tu, haya maneno ya mitaani yana aina ya watu wanaongea, Kuna neno Broather, kuna watu hutamka bro, kuna maneno toka Arusha Chalii yangu na mengine ambayo hayaelewki.