Make America Great Again

Make America Great Again

Kuna majimbo mengi tu ambayo Obama alishinda ambayo zaidi ya asilimia 80 ya wakazi wake ni Wazungu.

Sasa kwenye hayo majimbo alishindaje kama Wazungu walio wengi hawakumpigia kura?

Iowa zaidi ya 90% ya watu wake ni Wazungu. Obama alishinda hilo jimbo chaguzi zote mbili.

Wisconsin zaidi ya 85% ya wakazi wake ni Wazungu. Obama alishinda chaguzi zote mbili tena ushindi mzuri tu.

Minnesota na yenyewe zaidi ya 80% ya wakazi wake ni Wazungu. Huko nako Obama alishinda ushindi mnono tu.

Illinois, huko anakotokea Obama zaidi ya 70% ya wakazi wake ni Wazungu. Obama alishinda kwa landslide.

Hiyo ni mifano michache tu ya majimbo yenye Wazungu wengi kuliko minorities wote combined lakini Obama alishinda.

Sasa alishinda shindaje huko bila kupigiwa kura na majority ya Wazungu wa huko?
Hizo states alizoshinda Obama mostly are liberal,progressive and educated na hata Clinton atazibeba kiurahisi tuu,American politics left/right ni muhimu kuliko rangi ya mtu
 
Hizo states alizoshinda Obama mostly are liberal,progressive and educated na hata Clinton atazibeba kiurahisi tuu,American politics left/right ni muhimu kuliko rangi ya mtu

Anhaa...kwa hiyo basi unakubaliana nami kuwa Wazungu walio wengi si wabaguzi hususan inapokuja kwenye mambo ya itikadi.

Safi sana.
 
huyu jamaa aliikomalia sana hiyo topic kwenye hiki kitabu, sijui naye ni racist?

51viHsPq79L.jpg
 
Umenena vizuri ila umeharibu hapo Chini kumuweka mh Lowassa maana hauna proof kua ni fisadi ndio maana umebakia kua wimbo mahakamani haendi, over!
Hajasema kuwa ni fisadi bali amesema kuwa "Miaka yote mumemsema kuwa ni fisadi".
 
Wamarekani walio wengi sio wabaguzi.

Ingekuwa ni wabaguzi Obama asingeshinda hata jimbo moja!
Ngabu tupinge Buku 10 Mi Heloo nasema Liwalo Na liwe Clinton Atashinda Urais Na kuvunja Rekodi ya Dunia Mke kurudisha mumewe White House!!!
 
Kadri muda unavyokwenda na mambo yanayoibuka I have a feeling Trump atashinda
Sio chaguo langu lakini ndo hivyo tena
 
Trump haandamwi kwa kauli yake ya make America great again kuwa ya kibaguzi Bali maneno yake ya kuwakejeli Hispanics kuwa wabakaji,wezi,wanachukua na kumiliki kazi nk, kuwasema blacks vby nk ,Ww unayemtetea Trump wkt akina McCain wanampinga trump kwa kauli zke ,..

Trump na Hillary wote candidates wabovu

Sanders,Rubio ndio walikuwa chaguo sahh ,
Safi hata Mimi nimeliona hilo wagomea wote ni very weak ukilinganisha na mwaka 2008 kulikuwa na watu makini si ajabu ukaona mtu anadondoka kwenye zile Debate zikianza
 
The Democrats wanajua kabisa kwamba hiyo kaulimbiu sio ya kibaguzi hata kidogo lakini tatizo ni kwamba pia wanajua kaulimbiu hiyo inamaanisha The Democrats ndani ya miaka 8 iliyopita wameifanya America to be weak!!

There's no way Democrats wanaweza wakaipenda hiyo kaulimbiu hata mara moja ingawaje nao wameshawahi kuitumia hiyo kaulimbiu na itaendelea kutumika kwenye chaguzi zijazo! YA KALE HAYANUKI!!
 
Siasa bila unafiki haziendi.

Wewe huoni waliokuwa mstari wa mbele kumlaani Lowasa kwa ufisadi ndo wakaja kugeuka na kuwa mstari wa mbele kumpigia debe aweze kuwa rais?

Ni vigumu mno kuwa na siasa zisizo na unafiki wa daraja la kwanza.

Bill Clinton aliitumia sana hiyo Make America Great Again....leo mkewe anakwambia America has always been great.

Mbona wakati mumewe anaitumia hakujitokeza kumsahihisha?

They are all a bunch of hypocrites.
 
Pamoja kwamba Sio muamerican ndoto zangu ilikuwa ni kuona. Dr. Ben Carson anashika dola. Lakini ndo basi tena. Najua this time ubaguzi marekani uta triple
 
Siasa bila unafiki haziendi.

Wewe huoni waliokuwa mstari wa mbele kumlaani Lowasa kwa ufisadi ndo wakaja kugeuka na kuwa mstari wa mbele kumpigia debe aweze kuwa rais?

Ni vigumu mno kuwa na siasa zisizo na unafiki wa daraja la kwanza.

Bill Clinton aliitumia sana hiyo Make America Great Again....leo mkewe anakwambia America has always been great.

Mbona wakati mumewe anaitumia hakujitokeza kumsahihisha?

They are all a bunch of hypocrites.
Siasa na unafiki ni chembe na pete! Hao wa Lowassa nilishawahi kuwaambia hapa kwamba kwa staili hii, hata siku JK akienda upinzani; mtamuita Kamanda na kumshangilia kwa mapambio na mtawataka wote wanaosema JK fisadi watoe ushahidi hata kama hivi sasa wimbo wenu ndio huo kwamba JK fisadi! Binafsi, siasa ndo zimenishinda hapo!!
 
m
Inategemea ametamka hayo maneno katika muktadha gani?Jinsi anavyotamka Trump ni kibaguzi zaidi.Sera za trump ni za kibaguzi zaidi.Trump akitoka kidedea itaashiria wamerekani wengi bado ni wabaguzi.
power of media ishakuharibu uwezo wa kuona mambo kiuhalisia na imewaharibu wengi juu ya Trump
 
Donald Trump is a racist, Senate Minority Leader Harry Reid said on the Senate floor Monday afternoon, and the media has been negligent by refusing to label him as such.
m

power of media ishakuharibu uwezo wa kuona mambo kiuhalisia na imewaharibu wengi juu ya Trump
 
Mdahalo wa juzi umedhihirisha Trump hana sifa ya kuwa Rais wa taifa kubwa la Marekani. Lakini wamarekani walivyo na akili za ajabu unaweza kuta wanamchagua
 
Mdahalo wa juzi umedhihirisha Trump hana sifa ya kuwa Rais wa taifa kubwa la Marekani. Lakini wamarekani walivyo na akili za ajabu unaweza kuta wanamchagua

Bado Trump ana nafasi Ya kushinda
 
Mdahalo wa juzi umedhihirisha Trump hana sifa ya kuwa Rais wa taifa kubwa la Marekani. Lakini wamarekani walivyo na akili za ajabu unaweza kuta wanamchagua
Mdahalo wa juzi haujabadilisha mtu ki mtazamo, mwisho wa siku kila watu walitoka wakasema wao ndo wameshinda.
Ila pamoja na kuskia Clinton alijiandaa wiki nzima, bado sikuona tofauti kubwa ya kujiandaa kwake.
Kila.mtu ana chance ya kushinda bado
 
Back
Top Bottom