Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,112
- 143,524
Siasa ama kweli ni mchezo mchafu ulio wa kinafiki sana kiasi kwamba watu wakweli kama mimi ambao hatujui kuremba hatuuwezi.
Kwenye msimu huu wa uchaguzi mkuu wa Marekani, mgombea wa kiti hicho Bw. Donald Trump, kauli mbiu yake ni 'Make America Great Again'.
Kauli mbiu hiyo imepondwa na wapinzani wake wakuu ambao ni Hillary Clinton na chama chake cha Democrats.
Baadhi ya hao Democrats wamedokeza kwamba kauli mbiu hiyo ni ya kibaguzi.
Lakini eti ni ya kibaguzi sasa hivi kwa sababu tu inatumiwa na Donald Trump.
Wakati Bill Clinton alipoitumia mwaka 1991 na 1992 wakati anagombea urais, kauli hiyo haikuwa ya kibaguzi.
Hata mwaka 2008 wakati Hillary anagombea, huyo mumewe aliitumia tena hiyo kauli wakati akimpigia debe mkewe.
Situngi, sizushi, wala simsingizii mtu. Jioneeni wenyewe!
Halafu hebu ona hapa jinsi Hillary anavyosema eti hakubaliani na wanaosema make America great😀.
Huu kama siyo unafiki ni nini?
Akiba ya maneno.....anyone?