Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,112
- 143,524
- Thread starter
- #41
Ndo maana kuna watu ambao wamewahi kushindwa midahalo lakini wakashinda urais.Mdahalo wa juzi haujabadilisha mtu ki mtazamo, mwisho wa siku kila watu walitoka wakasema wao ndo wameshinda.
Ila pamoja na kuskia Clinton alijiandaa wiki nzima, bado sikuona tofauti kubwa ya kujiandaa kwake.
Kila.mtu ana chance ya kushinda bado
Lolote lawezekana.