C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,070
- 3,718
1. Makazini/maofisini
Hapa ndio panaongoza kwa ngono, wake za watu na waume za watu wanabutuana kama hawana akili nzuri lunch time watu wanapigana vya fasta fasta, kupewa kazi mtu anabinuliwa, kupandishwa cheo mtu lazima aliwe au ale, kama una zengwe kulicheza zengwe lile kama vile uhamisho lazima kyupi ivuliwe
2. Vyuoni hapa wanafunzi kwa wanafunzi ,wanafunzi na ma proffesor, wanafunzi na watu baki kwenye ma club hali ikiwa ngumu vyuojni basi kasheshe boom likichelewa vyupi vinavuliwa kama hawana akili nzuri
3. Mitaani hawa ni wale ma jobless, wafanya biashara, ma beki tatu, watoto wetu, ma bar maid, walioacha shule wasiokuwa na kazi za kufanya wanawqza ngono tu na ma jobless hasa wanawake maisha magumu wanatafuta mabwana wa kuwapa angalau vijisent matokeo yake ngono inafanyika live
4.mashuleni hawa hawana tofauti na wa vyuoni ila hawa kidogo wana vi uwoga woga hawa ji wanafunzi na wanafunzi wanafunzi na walimu na wanafunzi watu wa mtaani ila kama nilivyosema kuwa hawa wana uwoga hivyo wanaanguka mpaka nafasi ya 4