makazini ndiko kunaongoza kwa ngono ... soma list nzima hapa

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
1. Makazini/maofisini
Hapa ndio panaongoza kwa ngono, wake za watu na waume za watu wanabutuana kama hawana akili nzuri lunch time watu wanapigana vya fasta fasta, kupewa kazi mtu anabinuliwa, kupandishwa cheo mtu lazima aliwe au ale, kama una zengwe kulicheza zengwe lile kama vile uhamisho lazima kyupi ivuliwe

2. Vyuoni hapa wanafunzi kwa wanafunzi ,wanafunzi na ma proffesor, wanafunzi na watu baki kwenye ma club hali ikiwa ngumu vyuojni basi kasheshe boom likichelewa vyupi vinavuliwa kama hawana akili nzuri

3. Mitaani hawa ni wale ma jobless, wafanya biashara, ma beki tatu, watoto wetu, ma bar maid, walioacha shule wasiokuwa na kazi za kufanya wanawqza ngono tu na ma jobless hasa wanawake maisha magumu wanatafuta mabwana wa kuwapa angalau vijisent matokeo yake ngono inafanyika live

4.mashuleni hawa hawana tofauti na wa vyuoni ila hawa kidogo wana vi uwoga woga hawa ji wanafunzi na wanafunzi wanafunzi na walimu na wanafunzi watu wa mtaani ila kama nilivyosema kuwa hawa wana uwoga hivyo wanaanguka mpaka nafasi ya 4
 
Ukifuatilia haya utaumia sana mkuu C.T.U
Sioni jpya kwa kweli..hivi tunaumia nini watu wakifanya ngono??
Uzuri mmoja madhara yake sio 'common tragedy' rather ni individual!!
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndiyo great thinkers??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
mimi napata shida kuelewa research yako ime- intend kusolve kitu gani! really i don't know what to do with your research result may be aliyemuelewa anidadavulie
 
Hawa ndiyo great thinkers??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????

Hivi kila mwanaJF ni great thinker?maana hizi kauli za great thinker tumezeoa kuziona humu kila uzi wa aina flani zinapotoka.
 
mimi napata shida kuelewa research yako ime- intend kusolve kitu gani! really i don't know what to do with your research result may be aliyemuelewa anidadavulie

Research wengi wanajua ni kufichua matatizo / kuonyesha hali flani katika jamii bila kuja na way forward ya nini kifanyike kurekebisha au kuboresha zaidi kile kilichoonekana kwenye utafiti au umejifunza nini kutokana na kile ulichogundua kwenye utafiti wako ili jamii nyingine nayo iweze kufuata
 
so hii ya huyu jamaa inasolve nini?
 
Ukiweka akilini haya unaweza usioe au ukapunguza upendo kwa mkeo
 
Back
Top Bottom